Nini Tafsiri ya kongamano la BAVICHA lilofanyika Dar na hili la Mwanza?

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Mwezi uliopita Bavicha waliaanda kongamano huko Dar, wakaongea hadi jasho na likapita.

Je, Mwanza wangeacha jasho liwatoke silingepita kama Dar.
 
Kwani kuna haja kiongozi akiwa safarini kusimama barabarani na kuhutubia?

Foleni inayotengenzwa hauwezi kuepukika akizungumza kwenye luninga?
 
Back
Top Bottom