Habari ndigu zangu! Mimi kila siku natamani sana kuona nchi yangu ikipiga hatua na kufika sehemu ambayo itakuwa ni suluhusho la maisha magumu tuliyonayo kisiasa, kihistoria na kiuchumi. Nchi hii...
Inafahamika kwamba kila siku duniani kote wafanyabiashara wanapanga mbinu za kila aina kuweza kukwepa kodi,ndio maana watu kama Ronaldo na Messi wamewahi kukamatwa na kushtakiwa kwa kukwepa kodi...
Hii swala la tozo na miamala ya simu hata likiondolewa basi Watanzania tupate funzo la kuwa, wafuatiliaji wa mambo na sio yakishaanza telekezwa ndio tuanze kelele nyingi.
Nasema haya kwa sababu...
Katibu wa Bavicha Iringa Vitus Nkuna leo ameitwa ofisini kwa Mkuu wa Mkoa wa Iringa ili ahojiwe , tambua kwamba RC wa Iringa anaitwa Queen Sendiga .
Bila shaka Mahojiano hayo yanahusiana na...
Prof Shukuru Manya, Naibu waziri wa madini ateuliwe kuwa waziri wa madini.
Ninasema hivi kwa sababu zifuatazo:-
1.ameongoza tume ya madini Kwa uadilifu mkubwa.
2. Amesomea masuala ya madini na...
Kama itashindikana kuiondoa kwa kuwa ipo tayari kwenye budget basi na iwe fixed amount.
Kodi ya uzalendo ingekuwa na tija kama ingekuwa ni fixed amount.
Mfano wangesema wakate Tshs. 10 kila siku...
Mchungaji Msigwa amesema kudai katiba mpya siyo kosa la jinai bali ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania, hivyo kwa utaratibu unaotumika sasa watakamatwa wengi yaani na mchungaji Msigwa akiwemo...
Baada ya kukamilisha Operesheni Haki kwenye kanda 10 za Tanzania kwa mafanikio makubwa, sasa ni zamu ya Kimataifa, Tundu Lissu, John Mnyika pamoja na mwamba mwenyewe Freeman Mbowe kuunguruma...
Rais Samia, hivi karibuni ametoa kauli nyingi nzuri na ametenda baadhi ya mambo mazuri.
Kwa kauli:
1) Ameihakikishia jamii ya kimataifa kuwa utawala wake utazingatia demokrasia na haki.
2)...
Hello guys,
Nauza kitabu hicho kimeandikwa kwa koswahili kabisa..,njoo inbox (Bei Ni tshs 5000 tu) ujipatie., Na weekend yako iwe mujarabu huku ukijikinga na COVID 19
Pata dondoo kidogo hapo...
Tafakuru!
Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra.
Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande.........
Wanasiasa waitwe Ndugu........
RAIA...
Jana nilimsikiliza Waziri Mwigulu pale TBC nikapata mashaka sana na kuona ameamua kudanganya kutaka kuupooza umma.
Akijaribu kufafanua amedai kuwa makato ya tozo hizi yanaenda kwenye huduma za...
Watanzania ni watu wa ajabu sana sijui ni sababu ya upole na unyenyekevu au uoga! La sivyo wako katika lindi la ujinga!
Mwaka 2019 wananchi wa Sudan waliiondoa serikali ya Rais Omary al Bashir...
UFAFANUZI WA KINACHOSAMBAZWA MITANDAONI KUHUSU DC MURO
Mimi mwenyekiti wa CCM wilaya ya Ikungi Ndugu Mika Lucas likapakapa naomba kuweka wazi ukweli wa tukio linalotajwa katika mitandao ya...
Chama Cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo Tanzania, TCCIA Kimefanya Uchaguzi Mkuu na Kumchagua Kwa kushindo Mwenyekiti aliyemaliza muda wake , Wolter Maeda ambaye alitetea nafasi yake kwa...
Masala Sayi
Chuo Kikuu cha Iringa.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajia kuwa na ziara ya kikazi nchini Burundi kesho tarehe 16, Julai 2021.
Ziara hiyo...
Polisi muache kujipitisha kwa kuikumbatia CCM hata mnafika kuvunja sheria ,mkae mkijua kikinuka Miccm haitawasaidia kitu na watakaa mbali sana na nyinyi,mnamuona Sabaya? Mnawaona wale mapolisi...
wananchi walio wengi wanatamani kuiona CCM ikiwa imepoteza madaraka ,maana ni shangwe na furaha kwa nchi nzima watoto na vijana wazee na yaani CCM tumeichoka kuliko mahelezo,waende tu.Na nina...
Mpaka Sasa mawaziri walioshindwa kuendana na mama Samia Suluhu na wanapaswa kukaa pembeni ni;
1.Mwigulu Nchemba-huyu Tangu
mwanzo ofisi ilimshinda,ni waziri
anayeongoza kwa madudu ktk...
Kando ya barabara zote kunaweza kujengwa maduka yakapangishwa wamachinga. Hili linaweza kusimawa na halmamashauri za Wilaya. Majengo yakiwa ya kuvutia yatafanya mji uwe safi. Pia kujenga vyoo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.