Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,658
- 20,890
Wabunge ni wawakilishi wetu. Tumewapeleka wakaisimamie serikali kwa niaba yetu. Kama wawakilishi wetu wamekubali maana yake tunaowakilishwa tumekubali.
Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.
Kama hawa wawakilishi wameenda kukubali kitu ambacho hatujawatuma, tuwalalamikie wao na kuwawajibisha na si serikali. Zaidi ya hapo tutulie.