Waziri Mwigullu tuondolee hiyo kodi ya kizalendo kwenye Sadaka za Bwana siku za Dominica kwa njia ya miamala!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,840
141,765
Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.

Kwa kifupi sana:

Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Kwanini ipunguzwe??

Tembea kifua mbereee sisi ni matajiri
images (75).jpeg
 
Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.

Kwa kifupi sana:

Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Ngoja Bwana Madilu aje aweke tozo kwenye sadaka ya Kila Muumini anayoitoah! Hapo ndipo utakapojua awam hii ni HAPA KODI TU
 
Kwanza taasisi za dini hazistahili hizo favours za kutokulipa kodi. Lile lengo la kusaidia jamii lishabadilika na siku hizi wote tunafanya biashara tu.
 
Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.

Kwa kifupi sana:

Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Wenzako hesabu zimekubali, nikipanda daladala kwenda na kurudi sh.800/= mpaka 1,000/= hivyo naokoa sh 1,000/= kwenye makato ya sh 2,000/=. Kibinyo ni kwa mamantilie na machinga ambao m-pesa ndiyo ilikuwa benki yao.
 
Nakusalimu kwa jina la JMT Dr Mwigullu Nchemba.

Kwa kifupi sana:

Naomba uitazame upya hii kodi ya kizalendo kwenye Sadaka zetu tunazomtolea Mungu mwenyezi kwa njia ya miamala ya simu hasa siku za Jumapili na kwenye mikutano ya Injili.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Tozo iongezwe....✌️
 
Back
Top Bottom