Mchungaji Msigwa: Kudai katiba siyo kosa la jinai mtatukamata wengi safari hii!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,915
141,879
Mchungaji Msigwa amesema kudai katiba mpya siyo kosa la jinai bali ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania, hivyo kwa utaratibu unaotumika sasa watakamatwa wengi yaani na mchungaji Msigwa akiwemo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
 
Mchungaji Msigwa amesema kudai katiba mpya siyo kosa la jinai bali ni haki ya kikatiba ya kila mtanzania, hivyo kwa utaratibu unaotumika sasa watakamatwa wengi yaani na mchungaji Msigwa akiwemo.

Nawasalimu kwa jina la JMT!
Adaia wapi hiyo katiba huyo chogo au chumbani kwake


USSR
 
Mwl Nyerere alidai Uhuru akiwa Butiama?
Mwenye ufupi wa historia
 
Ninachokiomba tuishinde CCM wakati bado hii Katiba haijabadilishwa,tatizo Siku CCM itakapopoteza madaraka ndio siku ya mauti yake,hii ndio shida tu. Ila tutawasaka kama ndezi yaani hawa hawana mfano na nduli.
 
Kwani walifanya fujo au vurugu yoyote ya kuhatarisha amani na usalama?

Katiba ya JMT ya sasa inaruhusu watu kukusanyika na kujadili mambo.
 
Jamani watu huapa kwa kutumia vitabu vitakatifu kuifuata katiba hivyo kuenenda kinyume mnatafuta Mwenyezi Mungu mwenye hivyo vitabu aingilie kati au?
 
Nadhani zile nyaraka za Maaskofu zingerudi,huwa zinasaidia kurudi kwenye mstari.
Mwezi uliopita Baraza la Maaskofu waliteta na Rais faragha bila kuruhusiwa watu wengine zaidi ya wasiri wa Raid(Mambo nyeti)

Kuna harufu kuwa Mwendazake alikuwa mtoto wetu ila alikuwa MKAIDI
Kuna harufu eti walikuwa wanambembeleza Asilimu ili wapate nafuu ya kodi
Tetesi zako zikoje
 
Instagram_post_by_BAVICHA_&_CHASO_•_Jul_4,_2021_at_11:15am_UTC%22_.jpg
 
Back
Top Bottom