Kwanini Wabunge tunawaita waheshimiwa?

Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,703
3,304
Tafakuru!
Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra.

Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande.........
Wanasiasa waitwe Ndugu........
RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
 
Ni ulimbukeni wa Tanzania tu. All over the world, particularly in developed world, Mr, Ms, ndiyo mwendo wa mjini. Huku kwetu tunaitana Prof, Dr etc etc hata kama siyo vyuoni. Ni ushamba. Niliwahi kumwita JK Mr President and was ok
 
Taratibu ndugu!!! au umesahau hao jamaa zetu weupe si ndio wametuletea hayo yote!!

Honorable mp, Her Majesty , His excellency, Reverend priest, His highness, His hollinness etc
 
Hawa wabunge ni washenzi tu.Wamekuwa wakandamizaji wa wananchi badala ya kuwa watetezi
 
Haya mambo ya upuuzi wa kuitana mheshimiwa ndo yanaleta social disparity za kishenzi, hadi inafikia wana justify matumizi ya anasa ya serikali kuwalipa hao waheshimiwa mishahara na marupurupu ya kufuru na ma VXR sijui ma vii eite kisa kulinda hadhi ya muheshimiwa. Huwezi shangaa nchi zilizoendelea kiongozi hata rais ni nadra sana kuitwa mheshimiwa achilia mbali kuitwa Dr,Prof.....wanawaita tu majina yao, Joe Biden, Barack Obama, Bill Clinton, hizo title za uheshimiwa labda zimebaki kwa malkia na wafalme. Lakini ngozi nyeusi akiwa na mamlaka au elimu anaona sana fahari kusujudiwa, kumbe ni ulimbukeni tupu....
 
Tafakuru!
Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra.

Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande.........
Wanasiasa waitwe Ndugu........
RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
kumuita Rais au mbunge Mheshimiwa ni hiyari ni hiyari ya mtu, hakuna kipengele cha sheria kinachomlazimisha wananchi akimtaja Rais au Mbunge atangulize Mheshimiwa
 
Mkuu hao viongozi ndo wameijenga hiyo kwa jamii. Mwl. Nyerere alisema wote tuitane ndugu.......baada ya mafisadi kuongezeka kwenye uongozi ndo yakalazimisha mambo ya kuitana muheshimiwa ili ku justify ufisadi wao, waonekane untouchable...
 
Na huu ulimbukeni upo hadi vyuoni, ukimwita lecturer kwa jina lake bila kutanguliza Dr. au Prof. unaweza usifaulu somo lake. Lakini wakati nasoma majuu wale maprofesa tulikuwa tunawaita tu majina yao ya mwanzo (first name) nd they feel OK. Mara nyingi kama wapo kwenye makongamano na vikao vya kitaaluma ndo wanaweza kujitambulisha kwa title zao za kielimu.....ngozi nyeusi ni shida sana.
 
Tafakuru!
Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra.

Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande.........
Wanasiasa waitwe Ndugu........
RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
Huo ni utambulisho tu kama ilivyozoeleka hapa Jamii forum kumwita mtu "mkuu" kwan huwa mna makuu gani humu? Niutaratibu tu ambao watu huwa tunajiwekea

Hata wewe ukipata uwakilishi huko na sio Dr, Prof, Mwl, etc basi utatambulika kama muheshimiwa "honorable" na sio issue mbona
 
Na huu ulimbukeni upo hadi vyuoni, ukimwita lecturer kwa jina lake bila kutanguliza Dr. au Prof. unaweza usifaulu somo lake. Lakini wakati nasoma majuu wale maprofesa tulikuwa tunawaita tu majina yao ya mwanzo (first name) nd they feel OK. Mara nyingi kama wapo kwenye makongamano na vikao vya kitaaluma ndo wanaweza kujitambulisha kwa title zao za kielimu.....ngozi nyeusi ni shida sana.
Basi wewe huna chochote cha kujivunia, ni sawa na kuoa mwanamke then aendelee kujitambulisha kwa jina la baba yake au atumie Miss Fulani Hahah utakubali?
 
Kwa sababu wanalipwa mishahara mikubwa kwenda kupitisha tozo za kufuck up wanyonge🐒🐒🐒
 
Basi wewe huna chochote cha kujivunia, ni sawa na kuoa mwanamke then aendelee kujitambulisha kwa jina la baba yake au atumie Miss Fulani Hahah utakubali?
Mkuu kutumia jina lako kama wengine kwenye jamii inaondoa matabaka kwenye jamii na kila mmoja kujiona yuko sawa na wengine........inaondoa intimidation na mambo ya upigaji kwa kutumia title za uheshimiwa, kumbe unakuwa unalenga kujinufaisha binafsi kwa kuonekana kwa watu wengine kama mungu mtu, hivyo hawawezi kukuhoji kwa lolote. Mfano, mimi ni Dr. lakini sijali sana watu wani addresss kwa title yangu, kuniita jina langu tu inatosha, labda kama nataka kujitambulisha miongoni mwa wanataaluma wenzangu.....
 
Tafakuru!
Neno MTU kuitwa MHESHIMIWA ni heshima,kumkweza,anamamlaka,au ni ushenzi na ufinyu wa fikra.

Napendekeza wanajeshi waitwe Mheshimiwa Afande.........
Wanasiasa waitwe Ndugu........
RAIA waitwe ndugu Mwananchi na siyo wanyonge.
mheshimiwa-vs kapuku[mnyonge]
wanaitana hivyo kwakuwa kanuni za bunge zinaelekeza hivyo
 
Haya mambo ya upuuzi wa kuitana mheshimiwa ndo yanaleta social disparity za kishenzi, hadi inafikia wana justify matumizi ya anasa ya serikali kuwalipa hao waheshimiwa mishahara na marupurupu ya kufuru na ma VXR sijui ma vii eite kisa kulinda hadhi ya muheshimiwa. Huwezi shangaa nchi zilizoendelea kiongozi hata rais ni nadra sana kuitwa mheshimiwa achilia mbali kuitwa Dr,Prof.....wanawaita tu majina yao, Joe Biden, Barack Obama, Bill Clinton, hizo title za uheshimiwa labda zimebaki kwa malkia na wafalme. Lakini ngozi nyeusi akiwa na mamlaka au elimu anaona sana fahari kusujudiwa, kumbe ni ulimbukeni tupu....
Wakati wakitukuzwa hivyo hakuna matokeo yoyote ya huo uheshimiwa, actually they don't deliver.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom