Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,702
- 36,132
Habari wanakamati?
Naomba kuuliza kaswali kadogo tu.
Hivi nchi hii ya Tanzania rushwa si kosa tena? Polisi kwenye vituo vyao wako busy kuchukua rushwa bila haya. Barabarani pia wanachukua rushwa kwa bodaboda, watu wa bajaji na daladala kweupe.
Ukitaka kuhakikisha haya panda daladala ujionee. Traffic Police anasimamisha gari na wala halitazami gari alilolisimamisha zaidi ya ku negotiate na dereva au konda.
Kuna center moja hapa Dar traffic wana ratiba maalum. Wanaanza kupiga pesa kwenye daladala, kisha private car, kisha bajaji, halafu bodaboda na kumaliza na magari ya mizigo.