Mbunge Shigongo abananishwa na mwandishi, apuyanga

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,206
103,782

Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.

1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?

2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi, tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣

3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
 
2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi,tukueleweje?

3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni
Sasa Shigongo unatuchanganya

Kama kuna Fiscal deficit maana yake inabidi upunguze matumizi na si kuongeza kodi

Pia kwenye uchumi ambao uko slow, maana yake ni kuwa hata wansnchi wanasuffer, Sasa solution tangu lini ikawa ni kuwaongezea kodi?
Huyu jamaa bure kabisa, angekwepa hayo maswali, majibu yake yameonyesha kuwa kichwani amejaza maduara
 
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.

1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?

2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi,tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣

3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni

Shigongo ni miongoni mwa wabunge weupe mno kichwani , hivi alipataje hela huyu ?
 
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.

1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?

2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi,tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣

3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni

Hili la tozo kazunguuuuka, mwisho kaja kulekule kua inaumiza wananchi sasa sijui anachokitetea hapo ni nini.

Kinachostaajabisha ni wabunge wote kua na mawazo yanayofanana 100%. Bunge la ajabu sana hili, eti wabunge walijikuta na option 2 😂😂😂 shigongo bna ni eidha tozo au uchumi ushukee.
 
Amebanwa maswali manne hakuna hata moja alilotoa jibu la maana kama mwakilishi.

1. Anasema uchumi ulikuwa umeanguka. Akaulizwa kama uchumi ulianguka kipindi cha Magufuli mbona hakuwahi kusema hayo kipindi cha Magufuli anasema leo?

2. Ameulizwa kwa nini bunge limegeuka kuwa chombo cha kusifia serikali badala ya kuwajibisha na kuisimamia. Anaulizwa unasema Wilayani wamekula hela lakini bungeni unapiga makofi, tukueleweje? 🤣🤣🤣🤣🤣

3. Ameulizwa kama kila mwananchi analalamikia tozo,Je wao walienda kuwasilisha mawazo ya mwananchi gani bungeni

Hivi Shigongo naye ni Mbunge?
 
Uchumi wenu uliporomoka huo ndo ukweli!! Kidunia!! lkn hasa hapo kwenu ajili ya gujiwe gulifanya uporomoke zaidi ajili ya sera mbovu!!! za kujisifia! na kukalia data!! kwa jiwe haya msingeyaona!! Big up shigongo!
 
Back
Top Bottom