CHADEMA mtapevuka lini kiakili?

CHADEMA mtapevuka lini kiakili?

joshydama

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2016
Posts
4,623
Reaction score
5,054
Habari za mchana Mabibi na Mabwana? Ni tumaini langu kwamba hamjambo wote humu ndani.

Wakuu kama kichwa cha huu uzi kinavyojielezwa hapo juu ni natumaini yangu kwamba hata wewe unayesoma huu uzi utakuwa unashangazwa na hizi harakati za wafuasi wa CHADEMA za kudai katiba mpya. Hawa wana CHADEMA ni sawa na watoto wadogo ambao hawajapevuka kiakili.

Hawa wafuasi wa CHADEMA walianza hizi harakati za kudai katiba muda mrefu sana ingawa zilipamba moto sana wakati wa utawala wa marehemu John Joseph Pombe kufuatia matukio mbalimbali ya kuvunjwa kwa katiba yetu.

Kiukweli wafuasi wa CHADEMA na wanaharakati wanaodai hii katiba mpya ni watu ambao bado nawaona hawajakua kiakili na hawajajitambua kabisa kwa sababu wanashindwa hata kutambua njia ili bora ya kudai katiba yao na ambayo itawapa kwa haraka wanachokitaka.

Katika harakati zao wamekuwa ni watu wenye porojo nyingi sana ila linapokuja suala la vitendo wamethibitisha kwamba hawana madhara yoyote. Harakati zao ni sawa na Mbwa anayebweka sana ila muoga na hana uwezo wa kung'ata kwa sababu hata meno ya kung'atia hana.

Wanachadema mlianza kudai katiba mpya muda mrefu sana. Kwanini mpaka sasa hivi hamjifunzi ni wapi mnakosea?

Kwanini kila siku mnatende kosa lile lile mlilotenda mwaka jana?

Kuna msemo wa kiswahili unasema vitendo huongea sana kuliko maneno( Actions speak louder than words). Wanaharakati na wana CHADEMA bila kuonesha vitendo na kusimama imara hamtafanikiwa kamwe mnachokipigania hata siku moja.

Mwaka jana mlinyimwa haki zenu za kufanya mikutano ya hadhara ya kisiasa kitu ambacho ni kinyume na Sheria na aliyezuia mikutano ya kisiasa hakuwa na mamlaka wala sababu za msingi za kuzuia mikutano hiyo. Ila kwa sababu ya kutokujitambua kwenu hamkuchukua hatua yoyote. Huu ulikuwa ni udhaifu mkubwa sana katika ulimwengu wa kisiasa.

Aidha, kipindi cha uchaguzi mliona mlichofanyiwa ila mwisho wa siku hakuna mlichofanya. Kitu ambacho kilithibitisha kwamba nyie ni Mbwa asiyeng'ata.Huu nao ni udhaifu mlioudhihirisha kwa sababu mliruhusu na kubariki kutendewa dhuruma.

Wana CHADEMA na wanaharakati kuna aina mbili za kudai haki yako:-

1. KWA NJIA YA AMANI.
- Wana CHADEMA na wanaharakati mmekuwa mkidai haki zenu kwa mujibu wa katiba kwa njia ya amani na kwa muda mrefu sana bila mafanikio. Mbinu hii kiukweli imeshindwa kuleta mfanikio na haihitaji hata kutumia hadubini kugundua kwamba hii njia haina tija tena katika harakati zenu.

2. KWA NJIA YA VITA
- Wafuasi wa CHADEMA kumbuka kwamba amani haiji kwa njia ya upanga. Mfano mzuri ni mwaka 2008 nchini Kenya ambapo wananchi wa Kenya waliingia mtaani kudai haki zao kwa nguvu. Hakika walifanikiwa kwa asilimia kubwa sana. Hakika ile ilikuwa ni funzo kubwa sana kwa uongozi uliokuwepo madarakani.

# Mapendekezo juu ya madai ya katiba mpya.
a)Acheni uoga waungwana. Mkiweza kuacha uoga na kuingia mtaani hakika katiba mpya itapatikana haraka sana. Uoga wenu umejidhihirisha mara nyingi sana mfano mwaka jana mlihamasisha maandamano ila hamkutokea katika mitaa kwa ajili ya kuongoza wananchi au raia wema katika maandamano ya amani. Bali mlijifungia ndani na familia zenu.

b) Acheni unafiki katika hizi harakati za kudai katiba mpya. Unafiki katika harakati za kudai katiba mpya ni kikwazo kikubwa sana. Ni mara nyingi mmekuwa mkihamasisha raia wema kufanya maandamano ya amani ya kudai haki zao pamoja na katiba mpaya kitu ambacho ni haki ambayo inatambulika kwenye Katiba ya Jamhuri wa Muungano wa Tanzania. Ila cha kushangaza siku ya maandamano huwa mnajifungia ndani badala la kuwa viongozi wa maandamano hayo.

c) Badilisheni mbinu mnayotumia kudai katiba mpya mfano Leo hii mliandaa mkutano kule Mkoani Mwanza kwa ajili ya kudai katiba mpya ila harakati zenu zimegonga mwamba baada ya kutiwa mkwara.

Karibuni kwa michango wakuu.
 
Sichangii kwasababu wewe ni mchochezi.
Unashauri nakuelekeza mbinu zakigaidi zitumike.

Nadhani phylosopy ya Chadema ndio wanayotumia.
 
Waacheni watanzania wafanye watakayo katika nchi yao...
 
Ok.Tufanye hawadai katiba.Ndiyo watakuwa wameshakuwa kiakili?Bogus!
 
Nimekuelewa
Viongozi wa upinzani mitandaoni watahakikisha wanasema lile mnapenda kusikia lakini mtaani ni hadithi nyingine

Safari bado ndefu
Wanakimbilia vyombo vya habari .... mseme nini lipi jipya kama si kulalamika tuuuu
Mnachosha bana
Mmeshindwa kuzungumzia tozo hakuna tamko wala nini
Akina mwinyigulu watawachezea kama midoli
Amueni
 
Utapevuka lini kujua kwamba dai la katiba mpya ni la watanzania na sio CDM?
 
Wanachokijua ni kulalamika tu.
 
Were umepevuka kiakili kiasi gani?
 
Utapevuka lini kujua kwamba dai la katiba mpya ni la watanzania na sio CDM?
Mkuu sidhani kama umechuwa muda wako kufikiri kabla ya kuchangia. Ni kwamba kuna makundi mawili hapa ambayo ni CDM na CCM. Vyama vyote hivyo ni sehemu ya wananchi.

Ingawa wafuasi wengi wa CCM hawataki na hawapo tayari kwa katiba mpya kwa sababu wanaona inalinda maslahi yao vizuri sana.

kwa upande wa CDM ndiyo wanatuwakilisha sisi wananchi ambao tunataka katiba mpya ila wamekuwa waoga na wanafiki katika kudai katiba mpya. Wanapenda porojo kuliko vitendo.
 
Were umepevuka kiakili kiasi gani?
Actually, my political maturity is 100%. And that's why I have managed to advise them baada ya kuangalia mwenendo wa harakati zao. Njia wanayotumia kudai katiba mpya hawatafanikiwa kamwe kwa sababu ni muda mrefu sana walianza hizo harakati kwa mbinu hii ila mpaka sasa hivi wamethibitisha kushindwa kwa 100%.
 
HOJA yako ina Nguvu ila tuweke AMANI mbele.
Mkuu tumetumia amani kwa muda mrefu ila haijaleta mafanikio hata kidogo. Hiyo amani unayoihubiri ndiyo chanzo cha kuletewa sheria kandamizi mfano sheria ya tozo ya miamala ya simu n.k. mfano hili suala la "solidarity tax" hatukutakiwa kulifumbia macho bali tulitakiwa kuonesha vitendo mfano migomo dhidi ya bidhaa za makampuni yote ya mawasiliano , maandamano n.k

From there we could at least raise a red flag to this repressive regime. But tupo kimya tu.
 
Back
Top Bottom