Kwaheri Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Kwaheri Hayati Dkt. John Pombe Magufuli

Katika maisha ya mwanadamu, mambo mawili: mwanzo na mwisho, ni hakika.

Japo ni Mungu pekee ajuaye, kwa upendeleo, sisi tumeuona mwanzo na mwisho wako.

Tumejifunza mengi kupitia maisha na kifo chako – Ee Mungu tujaalie mwisho mzuri.

Kwaheri Mhe. JPM.
Mkuu pole sn kwenye utawala wetu ulipata misukosuko sn
 
Back
Top Bottom