Wang Shu
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 2,563
- 3,708
Akisifu na kupongeza maamuzi ya Rais Samia Suluhu kuhusu tozo za miamala. Akiwa kwenye mahojiano katika luninga, EATV kipindi cha joto la asubuhi alisema "Watanzania wataumia kidogo kuliko manufaa watakayo yapata kwenye tozo za miamala"
Pamoja na mengi aliyozungumza ni pamoja kwanini serikali ilishusha kodi kwenye betting alisema " Serikali ilikuwa inapoteza mapato makubwa kwa sababu wanaoweka dau kubwa zaidi hubeti kampuni za nje kukwepa kodi za ndani"
Pia amewahakikishia wananchi wa jimbo lake kuwa ataleta mabadilko ya maendeleo kwa haraka katika uongozi wake.
Pia yupo kwenye Kamati ya Bunge la bajeti alisema wabunge waliopo bungeni sio waoga na wanatoa hoja zenye mashiko wakati mwingine ni za kuishambilia serikali yenyewe.