Naomba niseme haya ni maoni yangu binafsi, na ni mtizamo wangu binafsi, na ndivyo ilivyo.
Bunge la Tanzania lililojaa utitiri wa wabunge hadi wabunge feki, ni mzigo kwa nchi ni hasara kwa nchi wala halina faida yoyote
Utitiri wa wabunge wa majimbo, wabunge wa viti maalumu wabunge wa kuteuliwa na Rais, idadi ni kubwa mno lakini kazi ni zero na hasara.
Wanapitisha kitu halafu wengine hawajuibhata wamepitisha nini.
Huwezi Amini bajeti waliopitisha mpaka wao sasa hivi wanaishangaa wakati bajeti walipitisha wao kwa asilimia zote.
Siku zilizopitika kuna mbunge alishauri eti kiundwe chombo huru cha kuisimamia serikali😲
Nawaambia Watanzania hawa wabunge wa kutafuta mkandarasi wa financial and building hawatatufikisha popote hawana faida kwa nchi zaidi ya kugawana mishahara tu isiyokatwa kodi.
Kwanza wabunge 300+ ni mzigo
Kwakweli naanza kuuona umuhimu wa katiba mpya