Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Watanzania wenzangu, mnisamehe kwa kuwaambia UKWERI huu. Nimetafakari na kufuatilia suala hili kwa muda mrefu sana na ninapokuja mbele yenu kwa 'conclusion' hii, naomba mchukue muda mjitafakari...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika wizara ambayo ambayo haikutendewa haki ni wizara ya fedha. Sijui mama Mama alikwambia wapi kumpa Dkt. Mwigulu Nchemba dhamana ya kusimamia wizara ya fedha. Sijui mamlaka zetu zilikwama...
3 Reactions
7 Replies
1K Views
Suala la kudai Katiba Mpya ni la lazima kwa sababu kuna makundi 3 yanajitahidi sana kupinga isipatikane. Makundi hayo ni Kuna kundi lisilo na Uwelewa wa katiba iliyopo na katiba mpya Kuna kundi...
1 Reactions
4 Replies
701 Views
Hakuna mahali wala nchi ambapo chanjo ya corona ni lazima. Watu tunajiamulia. Kwangu mimi nimeifanya lazima. Ila mke Wangu na wanangu wao wanaona heri kupima Mara nyingi kwa kuwa hawana uhakika na...
0 Reactions
0 Replies
978 Views
Wadau nawasalimu. Ni wakati sahihi kwa sasa sheria ya kustaafu kwa watumishi wa umma iangaliwe.Sheria hii ni ya zamani sana na ilikuwa na sababu ya kuwepo kwani wasomi walikuwa wachache sana...
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Bashiru asema kuna majizi CCM KATIBU Mkuu wa (CCM), Dk. Ally Bashiru, amesema amekuta wizi wa kutisha ndani ya chama hicho uliofanywa na watu wenye majina makubwa na kwamba iwapo ataamua kutaja...
2 Reactions
58 Replies
15K Views
Mbunge wa Viti Maalum Kundi la Vijana UVCCM Mhe. Ng'wasi Kamani amewaasa Vijana kuendelea Kumuunga Mkono Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan ambaye anaendelea kuleta Maendeleo makubwa sana kwa Vijana...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Rais Dkt Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwenye Msikiti wa Bakwata Kinondoni Dar es Salaam. leo Februari 28, 2020, ambapo akiwa katika eneo hilo amekagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti huo...
5 Reactions
43 Replies
6K Views
Kwanza mpaka sasa tuhuma alizopewa zina msukumo wa kisiasa zaidi na ni kisasi baada ya kupambana na wanasiasa dhalimu na wapiga madili' Ushahidi dhidi ya tuhuma zake ni wa kutengeneza au kwa...
22 Reactions
314 Replies
25K Views
"Napenda kuwatangazia Wanachadema kuwa kazi ya kuidai Katiba Mpya siyo kazi ya lelemama. Wakitaka kuwaweka ndani Wanachadema kwa hoja hii ya Katiba wapanue kwanza Magereza, tupo tayari wote...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Katika kipindi cha The Big Agenda kinachorushwa na star TV katika mahojiano yao,moja ya swali ilikuwa je Katiba mpya ni muhimu? Wanaharakati; Ndiyo,Katiba mpya ni muhimu na ni hitaji kwakuwa...
0 Reactions
2 Replies
543 Views
Huu ni ushauri wangu kwa mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye mara kadhaa anajaribu kujiweka kwenye kundi la wasomi wa uchumi nchini ingawa alichagua kuwa mwanasiasa. Ushauri wangu unamuelekeza Zitto...
6 Reactions
29 Replies
2K Views
Ukituma fedha kwa njia ya mtandao wa simu utakatwa : a) Ada ya kutuma fedha b) Vat c) Tozo ya kizalendo Sasa naomba kuelimishwa hiyo double taxation. Napinga kwa 100% tozo za kizalendo lakini...
3 Reactions
23 Replies
3K Views
Kwa kuwa rais amesema tozo ziangaliwe upya maana yake ni kwamba wabunge walipitisha kitu cha ajabu. Waliharibu kazi. Sasa adhabu yao ni nini? Warudishe posho. Ndugai aliwatisha wabunge kwamba...
9 Reactions
17 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Safari ya Mbowe Zanzibar huenda ilikuwa na mambo, waswahili tunasema "njaa haina baunsa" na wala "hakuna mkate mgumu mbele ya chai". Mnamo mwaka 2015 Chadema wakiwa na akili timamu...
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Tukiwa wadogo tulionywa na wazazi pamoja na jamii kuwa katika jambo lolote ni lazima ujipange ili ufanikiwe na waswahili wakaongeza kwa kusema "Asiyekubali kushindwa si mshindani." CHADEMA...
1 Reactions
111 Replies
6K Views
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na...
8 Reactions
42 Replies
5K Views
Her Excellence, kindly be notified that there is no single Tanzanian University in the list of top 3,000 Universities in the World. UDSM used to be the best in Africa but now it is falling down at...
6 Reactions
18 Replies
3K Views
TAARIFA YA KAMISHNA JENERALI WA MAMLAKA YA KUDHIBITI NA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA GERALD MUSABILA KUSAYA KWA WANAHABARI TAREHE 19 JUNI, 2021 OPERESHENI YA UKAMATAJI WA DAWA ZA KULEVYA KWA...
9 Reactions
45 Replies
7K Views
Sikuwahi kufahamu kuwa wabunge, mawaziri, Rais, Makamu wa Rais, Spika na Waziri Mkuu, mishahara na posho zao, vyote havikatwi kodi!! Uko msemo unaosema kiongozi, "walk the talk". Kiongozi "walk...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom