Rais Dkt Magufuli Amefanya Ziara Ya kushtukiza Makao makuu Ya Waislam BAKWATA

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Rais Dkt Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwenye Msikiti wa Bakwata Kinondoni Dar es Salaam.

leo Februari 28, 2020, ambapo akiwa katika eneo hilo amekagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti huo.

pamoja na kushiriki katika dua na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).

FB_IMG_1582909704750.jpeg
FB_IMG_1582909702435.jpeg
FB_IMG_1582909700487.jpeg
FB_IMG_1582909698169.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ametembelea makao makuu ya waislamu na kushiriki dua ambayo mufti aliiongoza

Hakuna cha kushtukiza hapo.
 
#HABARI Rais Dkt Magufuli amefanya ziara ya kushtukiza kwenye Msikiti wa Bakwata Kinondoni Dar es Salaam.

leo Februari 28, 2020, ambapo akiwa katika eneo hilo amekagua maendeleo ya ujenzi wa msikiti huo.

pamoja na kushiriki katika dua na Mufti Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakary Zubeiry Bin Ally na viongozi wengine waandamizi wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA).View attachment 1371883View attachment 1371884View attachment 1371885View attachment 1371886

Sent using Jamii Forums mobile app
You can't swallow and breath at the same time.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya tumefurahi. Hakika hataki mtu yeyote kuiba senti yeyote iso yake. Yaani mufti eo cag alikifungua kile kitabu cha mapato na matumizi. Mkuu aliomba msaada wa kujengewa msikiti, sasa wewe ule hata mia hapo utaitaapika
 
Back
Top Bottom