jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,052
- 28,242
Huu ni ushauri wangu kwa mwanasiasa Zitto Kabwe ambaye mara kadhaa anajaribu kujiweka kwenye kundi la wasomi wa uchumi nchini ingawa alichagua kuwa mwanasiasa.
Ushauri wangu unamuelekeza Zitto aje na andiko au dhana ya kiuchumi ya jinsi gani ya kuboresha uchumi wa Tanzania.
Wapo wanafilosofia waliofanya hivyo kama kina Karl Marx,Nyerere na wengine.
Zitto hana budi basi kujipambanua katika muktadha huo ili tuone na kuheshimu mchango wake.