Shaka amvaa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar; "Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya Serikali unahudumiwa kwa kila kitu''

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,734
6,292
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"

"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.

Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
 
Zitto na ACT yake wanakumbushwa wasiropoke kuwasema mabosi wao, Zitto kule twitter anajitahidi kumpamba bosi kwa kujidai anataka siasa za majadiliano, ila huyo makamu wa kwanza wa Rais yeye hajui hilo, wataanza misuguano sasa hivi huko serikalini mwishowe hakuna watakachofanya kwa wananchi.
 
Tutafute maendeleo. Ujuaji wetu wa kisiasa tena sababu ya kula kwa wana siasa, unatufanya tudumae. Zanzibar moja, kwanini kutiana madole machoni?
 
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"

"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.

Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Kwani yaliyosemwa ni ya uongo.
 
Kumbe wale masheikh walikuwa sahihi kwa kauli ya Shaka

Mwinyi anakazi kimahusiano kwa utaratibu wakuropoka kwa Shaka.
Ni mwenezi wakubomoa Zanzibar, anatonesha vidonda vya nyuma.

Awepo mwenezi Zanzibar na
Bara awepo mwenezi
Tuache uhuni wakuchonganisha viongozi wa kitaifa.
 
Zitto na ACT yake wanakumbushwa wasiropoke kuwasema mabosi wao, Zitto kule twitter anajitahidi kumpamba bosi kwa kujidai anataka siasa za majadiliano, ila huyo makamu wa kwanza wa Rais yeye hajui hilo, wataanza misuguano sasa hivi huko serikalini mwishowe hakuna watakachofanya kwa wananchi.
Shida ya mzito ni mgangaa njaa
 
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"

"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.

Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Hoja imekaa kisiasa zaidi.

Lakini, kimsingi, wapinzani kukubali kuingia katika serikali au bungeni ni kukubali uhalali wa uchaguzi ulioiweka hiyo serikali au hilo bunge.

You can't eat your cake and have it too.
 
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"

"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.

Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Hussein Bora angeshinda kwa wizi tu. Lakini alichofanya yeye na Jiwe Mungu hatamuacha.
 
"Kuna watu wanasema eti Dkt. Hussein Mwinyi ameshinda kwa wizi, wanasahau kuwa CCM ni Chama kikubwa, kina mipango, uratibu unaeleweka, atambue msemaji wa hayo amehifadhiwa na kusitiriwa na Serikali ya CCM na sivinginevyo"

"Haiwezekani unahoji leo ushindi wa CCM ukiwa sehemu ya serikali unahudumiwa kwa kila kitu, kula tunakupa sisi, Ving'ora vya kumsafishia njia akitembea tunampa sisi, Nguo ya kuazima......1.

Tatizo lake amekaribishwa ukumbini (sebuleni) analazimisha kuingia chumbani, wanajisahau waache chokochoko, tunataka Wazanzibar waendeleze umoja na mshikamano asiyeweza akae pembeni apishe wengine "- Mwenezi wa CCM Taifa jana Zanzibar
Meya wa Mji wa Morogoro anakukumbuka
 
Kumbe wale masheikh walikuwa sahihi kwa kauli ya Shaka.
Mwinyi anakazi kimahusiano kwa utaratibu wakuropoka kwa Shaka.
Ni mwenezi wakubomoa Zanzibar,anatonesha vidonda vya nyuma.

Awepo mwenezi Zanzibar na
Bara awepo mwenezi
Tuache uhuni wakuchonganisha viongozi wa kitaifa.
huyo mwinyi anajali?
 
Back
Top Bottom