Kuongeza ufanisi na tija kwa Magereza ili kusaidia jamii na mazingira kwa ujumla

Logikos

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
12,466
19,495
Kutumia nguvu kazi ya Magereza zote nchini kuwapa kazi ya kukusanya taka na kutumia taka hizo kwa uzalishaji wa Biogas kwa ajili ya kupikia.

Kusambaza Magereza zilizopo katika Sehemu Tofauti ili kupata nguvu kazi hio (wafungwa wengi wafanye community service ya kusafisha mazingira / kukusanya taka)

Kuwapa Tenda Magereza ya Kutengeneza na kusimamia Biogas Plants kwenye kila Shule kubwa hivyo kuondoa matumizi ya kuni na gharama za kupikia.

Kwa Kufanya hivyo tutatumia nguvu kazi hii kwa Magereza kujiendesha na kusaidia Jamii na Mazingira.

WASTE – BIOGAS – FERTILIZER
PUNGUZA TAKA NA KUOKOA MITI
KWA KUTOTUMIA KUNI
Magereza - Nguzo ya Jamii

 
Back
Top Bottom