"Hakuna CHANJO ya lazima. HAKI za Binadamu zinataka FARGHA hususan wa MWILI wako. Serikali haiwezi kukuingilia mwili wako isipokuwa pale Mahakama inatoa order Na kama kuna SHERIA lazim iwe...
Mfumo wa utawala tulio nao sahivi wa demokirasia katiba ni muongozo wa Taifa kiuchumi, kijamii, michezo na sanaa; hivyo inatosha kusema kuwa katiba ni muongozo wa jumla juu ya uelewa wa jamii...
Mara baada ya kuingia madarakani Hayati Dkt. John Joseph Pombe Magufuli alitoa angalizo kwa wanasiasa na wananchi kwa ujumla kuachana na Siasa na wajikite kwenye maendeleo.
Mh Hayati Rais...
Africa Intelligence website imeripoti kwamba Ndugu Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu wa amamu ya nne anatumia ushawishi wake kwa Samia suluhu kuhakikisha kwamba Bandari ya Bagamoyo ambayo ujenzi wake...
Hii habari ya kusema eti kipaumbele ni kujenga uchumi kwanza wakati Magufuli pia alisema hivyo hivyo matokeo yake miaka mitano ikapita hajafanya lolote. Tusiwadanganye wananchi na wala tusitafute...
Katibu wa NEC itikadi na uenezi taifa ndugu Shaka Hamdu Shaka amesema CCM haiko tayari kuona vyama vya upinzani nchini Tanzania vikifa kwa sababu kazi kubwa ya vyama hivyo ni kuisafishia njia CCM...
Dk Kigwangalla ana sifa zote za mtu aitwaye HASIDI. Hasidi ana pande mbili:- upande ni mtu mwema na upande mwingine mnafiki. HK anacheza na vitu 2:- bosi wake na nyakati. Siyo wa kuamini tena huyu...
Aliyekuwa mwenyekiti wa ACT Wazalendo Mama Anna Mghwira ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, asema yeye kuhamia CCM ni suala la muda tu. Adai 'kusalitiwa' na chama chake cha ACT.
Mimi...
Naibu waziri Tamisemi mh David Silinde amesema ni aibu na fedheha kwa halmashauri/serikali hadi leo watoto wanakaa chini na wengine hawana madarasa.
Chanzo: Radio One
Nawasalimu kwa jina la JMT!
Makamu Mkiti wa CHADEMA akiongea leo kwenye Forum ya Maria Space inayoongozwa na Mwanaharakati Maria Sarungi iliyoshirikisha watu zaidi ya elfu 6 duniani kote, amesema,
“Kama makundi mengine ya...
Habari wana JF, Ni matumaini yangu tu, wazima wa afya tele, ashukuliwe MUNGU kwa kutupa hii nafasi.
Naomba leo tuongee kuhusu BAJETI yetu ya mwaka 2021/22. Ambayo ndio kwanza haijamaliza siku 30...
Rais Samia mtazame Masoud Kipanya, unaonekana una jambo linakusumbua na huna namna matokeo yake unapokea kila ushauri wa wasaidizi wako.
Matokeo yake mnatoa Slogan nyingi na ahadi...
Friends and Enemies,
Mbowe na CHADEMA wanataka kutupeleka wapi Tena? Je, ni kweli kwamba walishazoea ile hali ya kupelekwa kibabe na mwendazake na wameikumbuka kisha wameanza kutingisha kibiriti...
Wakati Mbowe akiongea na waandishi wa habari kule Mwanza juzi alirudia hayo maneno kama mara tatu hivi,
nanukuu
"Majitu yamekaa kule Dodoma yanapanga mambo na yanapitisha kodi za kuumiza...
Ndugu zangu,
Mbowe amewataka wananchi kutohudhuria msiba na mazishi ya Kaka yake ili kuepuka maambukizi ya ugonjwa wa covid-19.Amesema msiba huo utakuwa "private" kwa familia tu.
Kwa upande...
Hii ni nadharia yangu mwenyewe itakumbukwa vizazi na vizazi.
Ukiona kiongozi anachukiwa na viongozi wa vyama vya upinzani ila anapendwa na wananchi wa kawaida basi ujue huyo ndiye kiongozi imara...
Kwanza nimpe pole Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe kama hayo magumu anayopitia ni halisi.
Pili niwakumbushe CHADEMA bado kuna hoja ya msingi ya tozo za kizalendo, ni kama vile mnatusahaulisha...
Mwanza ,as cold as January ungekuwa Europe ungeweza kusema hivyo ,huyu mama hapigi mayowe hakaripii mikutanoni habishani na wenye jazba ila Kuna watu wanaumia na kushtuka.
Walimwegu husema ogopa...
Huu ndio ukweli kuhusu CCM ya leo ambayo imepoteza uhalali wa kisiasa na sasa inategemea nguvu za dola kubaki madarakani.
Uchaguzi wanavuruga na kuupora na sasa hata mikutano ya ndani ya vyama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.