Kigwangalla usokolokwinyo huu atauacha lini?

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,567
50,393
Dk Kigwangalla ana sifa zote za mtu aitwaye HASIDI. Hasidi ana pande mbili:- upande ni mtu mwema na upande mwingine mnafiki. HK anacheza na vitu 2:- bosi wake na nyakati. Siyo wa kuamini tena huyu Ni kisokolokwinyo aliyeenda shule.

Akiwa waziri wa afya aliunga mkono wazo la jpm la watu kujifukiza. Akalipigia chapuo sana na akawa anarusha clip na picha akionesha anavyojifukiza. (Hapa HK alikuwa analinda ugali, hivyo akawa anajipendekeza kwa kiwango cha sgr kwa bosi wake).

Lkn siku chache tu baada ya kifo cha Magufuli alianza kupinga kujifukiza. (Hapa alishaona Magufuli hana ishu tena. Wa nini? Hatomsaidia kwa lolote. Nyakati za Magufuli kuwa bosi zimepita).

Na sasa ameanza kujipendekeza kwa mama Samia (Soma maoni yake hapa chini juu ya katiba mpya). Nadhani anatafuta uwaziri. Je, anaaminika tena hasidi huyu?? Anaaminika tena kisokolokwinyo huyu?

Screenshot_20210705-003903.png
 
Tanzania haijawahi kupata kipindi kigumu.

Msiba ni jambo la kawaida kabisa.

Kipindi kigumu labda kwake na wateuliwe wengine ambao wengi wameshasaliti falsafa ya boss.

Sisi tunaendelea mbele Mungu wetu Mwema anatenda Miujiza.
 
Sikumoja nimekaa eneo la moi muhimbili naona kabanana nakanesi moja ,nikamwita kigwangala Huyo bint anajua wewe niwaziri anavokung'ang'ania hivo kuomba namba manayake nn....katingwa mwenyewe nilimshusha sana thamani

Na mkonowake kaukunja nadhan enzi za ajali
 
Dk Kigwangalla ana sifa zote za mtu aitwaye HASIDI. Hasidi ana pande mbili:- upande ni mtu mwema na upande mwingine mnafiki. HK anacheza na vitu 2:- bosi wake na nyakati. Siyo wa kuamini tena huyu Ni kisokolokwinyo aliyeenda shule...
Kigwangalah MNAFIKI SANA Hata Magufuli Alimtema UWAZIRI kwa UNAFIKI wake kwa YULE KATIBU MKUU wa WIZARA ya MALI ASILI
 
Back
Top Bottom