Mdahalo Kudai Katiba Mpya unapogeuzwa Ugaidi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,223
35,139
Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?

IMG_20210723_052829_482.jpg

Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.

IMG_20210723_040339_898.jpg

Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka ukishakolea huwa tunaupiga mwingi kweli kweli kwa maana yake halisi:

IMG_20210723_041419_690.jpg

Enyi Mama Samia, Kamanda Sirro na wote mlio na dhamana, iepusheni nchi hii na aibu hii isiyokuwa na kifani!

"Hivi ni kweli kuwa njia hii mliyoichagua haiwatieni hata hofu tu kwa mola wenu?"

Misahafu inasema "mpende jirani yako kama nafsi yako." Bado haiwapi hata angalizo kidogo kutambua kuwa njia mliyoichagua siyo?

Msisahau kuwa mna dhamana ya kuongoza na si kutawala.

Source: Do arrests show Tanzania backsliding on reform commitments? - Democracy Digest

Samia Suluhu na strategy ya 2025 and beyond, anajua kabisa kuwa Lisu atamtoa knockout 2025 kwa vyovyote vile, kwa sababu CCM imemeguka baada ya JPM kutoka, sysytem kama ilivyo inataka kuanzisha uongo ili uaminiwe, kuwa CHADEMA na Lissu ni magaidi, na Lisu asirudi wala CDM isifanye campaign yoyote ile. SAmia and the system, wanajua kabisa hili.

Funzo kwa wapinzani hasa CHADEMA fight the system, adui wenu hakuwa JPM, bali ni CCM gangsterism System. Mliamini vipi, na kumsifia sana mtu aliyekuwa na JPM mkamtofautisha kabisa ati mzuri? She is as devil as the system!!!!!!!!!!!!
 
Samia Suluhu na strategy ya 2025 and beyond, anajua kabisa kuwa Lisu atamtoa knockout 2025 kwa vyovyote vile, kwa sababu CCM imemeguka baada ya JPM kutoka, sysytem kama ilivyo inataka kuanzisha uongo ili uaminiwe...

Kumsifia mwovu kwa kila jema analolifanya hakukufanyi kuwa mjinga.

Kumsifia mtu kwa kila jema ni wajibu kama ilivyo kwa kumkosoa mtu kwa kila ovu.

Mapungufu ya kibinadamu ni jambo la kawaida. Ila Samia alipiga U-turn kuanzia kwenye shamra shamra zake za siku 100 madarakani.

Sidhani kama kumwunga mkono alipokuwa akifanya vyema kuna mpa uhalali wa kudai imekuwa hivi kwa sababu tu alitofautishwa na JPM 😂😂😂😂!

Kwamba? Mliamini vipi, na kumsifia sana mtu aliyekuwa na JPM mkamtofautisha kabisa ati mzuri? "

Nisiache pia kusema, "hayupo mwenye dhamana au wajibu mkubwa zaidi kwenye kuisaka Tanzania iliyo bora, kiasi cha kunyoosha kidole kuwa yule au wale hawakufanya kile."

Kwani wewe ulikuwa wapi? Au hata ulifanya nini? Au wewe haikuhusu?

Au ni kusubiria matunda ya kula wewe ukiwa ni Interested Observer tu?
 
There are lots of things happening that seem to be rather odd and difficult to comprehend.

For instance, there is this statement attributed to Tundu Lissu, that goes:

"So, organizing a forum for constitutional reform is terrorism in the new Tanzania under Samia Suluh Hassan and her Police Force?"

Then it surprisingly goes on in apparent praise of the former dictator: "Even John Pombe Magufuli, her odious predecessor didn't dare to go that far" (!)

The dictator attempted to eliminate Tundu Lissu, and would probably have done the same to Freeman Mbowe at an opportune moment, how can that person be any better?

Has Tundu Lissu forgotten what happened to him and others under John Pombe Magufuli?
 
For instance, there is this statement attributed to Tundu Lissu, that goes
JPM alijua kazi ni kweli, aliona mbali ni kweli, alikuwa na development strategy imara kweli. Hatubishani hapo.

JPM alikuwa katili inawezekana, hasa tukio la Lisu, kweli lilibadirisha mawazo ya wengi na mitazamo ya wengi kuhusu JPM.

Mtu aliyekuwa na mtazamo mzuri kama yeye na hasa kwenye maendeleo kwa nini alkuwa katili? Mind boggling!
 
Hata kwa DC Sabaya wapo walio amini na wapo ambao hawakuamini lkn leo hii yupo mbele ya mahakama. Mahakama ndio Jukumu lake kuamua kama Mbowe na wenzake ni Magaidi au la.

tuache sheria ifanye kazi yake. Mbowe na wenzake sio Malaika, ni binaadamu kama walivyo binaadamu wengine, mambo yake mengine ya siri hatuyajui.
 
kumbe alianzisha harakati za katiba mpya kwa maksudi tu ili ikitokea anakamatwa na polisi basi iwe rahisi kutuhadaa na kuuhadaa ulimwengu eti kuwa kakamatwa kwa kudai katiba mpya!! aisee!!! Mbowe na kundi lake ni zaidi ya majambazi.

Tunamuomba Msajili wa Vyama akichunguze kwa makini hiki chama cha Chadema inaonekana kuna mtandao mkubwa wa kigaidi/kihalifu/kijambazi nchi nzima, Jeshi letu la Polisi wafanye uchunguzi kwa umakini mkubwa ili kubaini mtandao wote ili washughulikiwe kikamilifu kabla hawaja sababisha madhara kwa wananchi.

Amani ya Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama cha kigaidi.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?

View attachment 1864057

Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.

View attachment 1863998

Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka ukishakolea huwa tunaupiga mwingi kweli kweli kwa maana yake halisi:

View attachment 1864000
Enyi Mama Samia, Kamanda Sirro na wote mlio na dhamana, iepusheni nchi hii na aibu hii isiyokuwa na kifani!

"Hivi ni kweli kuwa njia hii mliyoichagua haiwatieni hata hofu tu kwa mola wenu?"

Misahafu inasema "mpende jirani yako kama nafsi yako." Bado haiwapi hata angalizo kidogo kutambua kuwa njia mliyoichagua siyo?

Msisahau kuwa mna dhamana ya kuongoza na si kutawala.

Source: Do arrests show Tanzania backsliding on reform commitments? - Democracy Digest
Tuliwaeleza na bado, huyo ni mama si dume!
 
Punguaniii
kumbe alianzisha harakati za katiba mpya kwa maksudi tu ili ikitokea anakamatwa na polisi basi iwe rahisi kutuhadaa na kuuhadaa ulimwengu eti kuwa kakamatwa kwa kudai katiba mpya!! aisee!!! Mbowe na kundi lake ni zaidi ya majambazi!!
Tunamuomba Msajili wa Vyama akichunguze kwa makini hiki chama cha Chadema inaonekana kuna mtandao mkubwa wa kigaidi/kihalifu/kijambazi nchi nzima, Jeshi letu la Polisi wafanye uchunguzi kwa umakini mkubwa ili kubaini mtandao wote ili washughulikiwe kikamilifu kabla hawaja sababisha madhara kwa wananchi.
Amani ya Tanzania ni Muhimu zaidi kuliko chama cha kigaidi.
Mungu ibariki Tanzania.
 
Nchi zetu za Afrika nani katuroga sisi? Hivi tunaweza je kufika huku?

View attachment 1864057

Barikiwa sana Mh. Tundu Antiphas Lissu. Mshangao wako ndiyo ulio mshangao wetu na pia kwa kila mpenda haki.

View attachment 1863998

Barikiwa sana beberu, kwa maana makwetu kusikokuwa na mihimili ya uongozi iliyo huru, utamu wa madaraka ukishakolea huwa tunaupiga mwingi kweli kweli kwa maana yake halisi:

View attachment 1864000
Enyi Mama Samia, Kamanda Sirro na wote mlio na dhamana, iepusheni nchi hii na aibu hii isiyokuwa na kifani!

"Hivi ni kweli kuwa njia hii mliyoichagua haiwatieni hata hofu tu kwa mola wenu?"

Misahafu inasema "mpende jirani yako kama nafsi yako." Bado haiwapi hata angalizo kidogo kutambua kuwa njia mliyoichagua siyo?

Msisahau kuwa mna dhamana ya kuongoza na si kutawala.

Source: Do arrests show Tanzania backsliding on reform commitments? - Democracy Digest
Rubbish, acheni vyombo vya usalama vifanye kazi yake.
 
We Tanzanian are not ready to tollarate any plot or activities of terrorist under the cover of political freedom.
Mbowe and his fellow alleged to plot and conduct terrorist act, they are criminals like any other criminals, no one is above the laws, he used Political party as an umbrella, he used agenda of demanding new constitution as an umbrella. that man is dangerous.
 
There are lots of things happening that seem to be rather odd and difficult to comprehend.

For instance, there is this statement attributed to Tundu Lissu, that goes:

"So, organizing a forum for constitutional reform is terrorism in the new Tanzania under Samia Suluh Hassan and her Police Force?"

Then it surprisingly goes on in apparent praise of the former dictator: "Even John Pombe Magufuli, her odious predecessor didn't dare to go that far" (!)

The dictator attempted to eliminate Tundu Lissu, and would probably have done the same to Freeman Mbowe at an opportune moment, how can that person be any better?

Has Tundu Lissu forgotten what happened to him and others under John Pombe Magufuli?

From?

"So, organizing a forum for constitutional reform is terrorism in the new Tanzania under Samia Suluh Hassan and her Police Force?"

You say,

"Then it surprisingly goes on in apparent praise of the former dictator: "Even John Pombe Magufuli, her odious predecessor didn't dare to go that far" (!)

Yet, you proceed to provide these very serious allegations?

"The dictator attempted to eliminate Tundu Lissu, and would probably have done the same to Freeman Mbowe at an opportune moment, how can that person be any better?"

You knew for sure the dictator was the man behind the assassination attempt to Tundu Lissu. You even had indications that the same dictator was to take on to Mbowe as well.

1. How did you get to know that so surely?
2. How did you make good use of this very valuable information?
3. Did you avail any of it to the police Tundu Lissu or Mbowe who were then in imminent danger?

May be if you could shed for some more light?
 
1. How did you get to know so surely?
2. How did you make good use of this very valuable information?
3. Did you avail any of it to the police Tundu Lissu or Mbowe who were then in imminent danger?

May be if you could shed for some more light?
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
 
Polisi wameshatolea maelezo, katumia mwanya huu akijua anaenda shikiliwa.
kama mmeamua kupanua goli kivyenu ila polisi ndio wameshasema...
Yale ni maelezo ya kijinga kabisa. Kama Mbowe alijua hilo, na kwa tuhuma nzito kiasi hicho, kilimshinda nini kuonfoka? Ukisikiliza maelezo yake unakata tamaa! Ni kwa vipi taasisi zetu hizi zinaweza kuongozwa na watu wenye low IQ kiasi kile.

Kweli kuna tofauti kubwa kati ya mwongo mpumbavu na mwongo mwerevu.

Sidhani kama kuna mwenye akili, hata ndogo kabisa, anaweza kuuamini upumbavu ule.
 
Hata kwa DC Sabaya wapo walio amini na wapo ambao hawakuamini lkn leo hii yupo mbele ya mahakama. Mahakama ndio Jukumu lake kuamua kama Mbowe na wenzake ni Magaidi au la.
tuache sheria ifanye kazi yake.
Mbowe na wenzake sio Malaika, ni binaadamu kama walivyo binaadamu wengine, mambo yake mengine ya siri hatuyajui.
Hili la Mbowe kuliamini, labda uwe na uwendawazimu. Ni sawa na wewe uambiwe umepindua submrine.
 
Mbowe and his fellow tricked us by using agenda of "Constitutional reforms" as a shield while knowing that would be arrested any time in connection with terrorist act.
they will be charged with the offence of terrorist Not for demanding constitutional reforms.
That's sad. I knew we were fighting for constitutional reform, kumbe the dude was using our movement as a shield to protect himself from terrorism accusations.
Shame on him
 
Yale ni maelezo ya kijinga kabisa. Kama Mbowe alijua hilo, na kwa tuhuma nzito kiasi hicho, kilimshinda nini kuonfoka? Ukisikiliza maelezo yake unakata tamaa! Ni kwa vipi taasisi zetu hizi zinaweza kuongozwa na watu wenye low IQ kiasi kile.

Kweli kuna tofauti kubwa kati ya mwongo mpumbavu na mwongo mwerevu.

Sidhani kama kuna mwenye akili, hata ndogo kabisa, anaweza kuuamini upumbavu ule.
Ya kijinga kwako na kempu yako sio kwa watanzania wengi.
 
Siasa za kishamba za Mbowe zimepitwa na wakati. Awekwe jela kwanza atulie maana Jiwe alimtimua nchini alivoona kibiko yake kafa ndo karudi kwa kasi kubwa. Inabidi ashtakiwe kwa ugaidi. Huo ni ukaidi na ugaidi.
 
We Tanzanian are not ready to tollarate any plot or activities of terrorist under the cover of political freedom.
Mbowe and his fellow alleged to plot and conduct terrorist act, they are criminals like any other criminals, no one is above the laws, he used Political party as an umbrella, he used agenda of demanding new constitution as an umbrella. that man is dangerous.

Kwamba?

"We Tanzanian ... "

Si ungeandika kiswahili tu jombi Ila tafadhali usituzungumzie na sisi tusiokubaliana na wewe.

Kudai katiba mpya si ugaidi kamanda ngenzi!
 
10 Reactions
Reply
Back
Top Bottom