Je Mbowe Kachanja „antimakosa“

Je Mbowe Kachanja „antimakosa“

unprejudiced

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2017
Posts
3,503
Reaction score
2,870
Subira yavuta heri. Geduld bringt Rosen. Wanasema wenye Lugha Yao.
Mke Wangu na wanangu wao wanajua zaidi. Kwangu la msingi pumzi.

Kwanza nina declare interest Kwa Nchi yangu nilipozaliwa hata kama Sasa kwa miaka Hii Kumi na kitu nafanya nachofanya huku kwa baniani mbaya kiatu chake dawa.

Niseme pia naipenda sana nchi yangu Hii kuliko mambo ya Siasa. Vyama. Nk. Kwa nchi maskini inawafanya kuwa maskini zaidi kama mtaacha kazi zenu na kutafuta fujo. Ndo mana siwezi kuficha mahaba kwa aliyekuwa Rais wetu JPM. Na Sasa kama Mtanzania 95%. Nina mahaba na Mama yetu kama taasisi ya nchi yetu. Mahaba kwa JPM yalikuwa ile kutambua kwake kuwa Sasa time was ripe kuacha maneno na kupiga kazi. Kama Ukiwa unapitia page ya Serikali na Wizara ya afya utastaajabu miundo mbinu ya afya majengo ya nguvu yaliyojengwa na yanayoendelea kujenga nk.

Watu wa humu wanajikusanya wanaambiana tuandike uzi then tucomment wenyewe na akiingia mtu kinyume Ni matusi na lugha siziso na staha. Ukiwauliza utawaskia wazee wa kufuata katiba na Demokrasia. It’s a pity Lakini bangi na ufuasi ndezi umewafilisha Hapo. Naipenda ista mana kule utawaona wananchi na hisia zao.

Bwana Mbowe kakamatwa na tuhuma Ni ugaidi. Hao ndo Polisi wamesma. Geduld bringt Rosen. Subira yavuta heri. Sasa kila mtu mjinga anakurupuka kupinga nk. Nikakumbuka jinsi Leo Polisi walivyokwenda na kuwaaokoa watu kwenye jengo la hoteli lilokuwa linaungua. Kuna mema wanafanya. Nawaza kuhusu Amani ya Mali na watu. Kuna mema wanafanya. Sasa wamemkamata Mbowe. Wao sio mahakama. Wana weledi wa kazi Yao. Tuwape muda kama wengine wakina Sabaya nk. Kuna watu walilieta Uzi wa makonda kukamatwa wakashangalia sana. JE MAKONDA NA SABAYA HAWAJAPIGWA CHANJO ALIYOPIGWA MBOWE?

Antimakosa against any kosa. Ukichanjwa wewe unakuwa Sawa na mungu. Nimeweka M herufi ndogo kuonyesha mambo ya kidunia haya.

Miezi 4 nyuma. Wana wa Antimakosa, walisema mungu wao ametenda. Anaua. Waneomba weeeee Sasa maombi yakaskiwa na huyo new and Personal god. Herufi G ndogo kutofautisha. Mwezi wa saba huu huyo g Sijui Sasa G kawaita ndugu wa damu wa Mbowe. Vipi Sasa Nani kaomba. The so called Sukumagang au. Mkuki kwa nguruwe.

Mi niwaambie kila mtu atakufa na kama mambo ya Mungu M kubwa. Yeye ndo kwake waovu wanaishi muda mrefu sana katika ngozi ya kondoo ili wapate muda wa kutubu na Wema huondoka mapema ili wasijeharibiwa na ulimwengu. Hayo mambo ya biblia. Sijui Q inasemaje.

So long as MBOWE NI MWANADAMU Ana uwezo wa kufanya makosa. Na Yale mavazi ya damu, pamoja kwa yenyewe kama yenyewe kuitwa nguo tu. Lakini watu wenye kupenda kuamua damu izunguke ubongoni watajiuliza mengi sana. Ukiona wewe unaona kawaida na mafallacy ya kuhalalisha Basi jua unaumwaaa. Kunywa aspro damu itembee.

Either he is guilty or not Guilty. Je Sisi kazi yetu Ni Nini. Subira. Muda utaongea. No one is Perfect. Na Hakuna aliyechanjwa kutofanya makosa. Let us wait.

Tanzania kwanza, maendeleo kwanza kabla ya maujinga yoyote ya maslahi binafsi kwa mgongo wa watanzania 80%.
 
kama ni kweli Mbowe ni Gaidi!Basi CCM wana mkono wao kumfanya kuwa Gaidi!!Viongozi wangapi wa CHADEMA wameuawa na polisi tena mchana kweupe??Wangapi ambao wameteswa na kuumizwa lakini serikali haikujali mateso wala vifo vyao hata uchunguzi tu wa maana hakuna????Moyo huchoka na haki hutafutwa kwa Damu kama sheria zetu hazina meno!!!MBOWE ATAKUA AMEFANYA BAADA YA UONEVU USIO NA MWISHO AKAONA NA YEYE APAMBANE !KAMA TUHUMA ZA UGAIDI NI KWELI!!IKIWA CCM INA JESHI LA POLISI JE CHADEMA ITAKUA NA NINI?HAYA NI MATOKEO YA SIASA NA UTAWALA WA CHUKI WA MUDA MREFU!!!WAKINA MBOWE WENGINE WATAZALIWA IKIWA TUTAMPOTEZA HUYU KWA SUMU KAMA KIGOGO 2014 ANAVOSHUTUMU HUKO TWITTER!!!
 
Nasema vikundi vya kigaidi vya ndani vitazaliwa kama donda ndugu ikiwa CCM ikiendelea na siasa zao za chuki hapa nchini!!!HUU NI MWANZO WA UTUNGU!!!
 
Haya ni mambo ya wanasiasa na ndiyo ajira yao. Sisi tuendelee kuchapa kazi kadiri ya ajira zetu. Kila mtu apambane na hali yake.
 
Bado natamani iona nchi yangu ikiwa na UPINZANI wa kweli wa siasa hiki wanafanya ni upuuzi Tu wenye ajenda zao binafsi
Yaani juzi mmesama Mama kaleta ahueni kubwa ambayo haikuwepo kwa miaka Zaidi ya mitano Leo wiki kadhaa badae wanataka tuamini hizi ni Zama za ovyo kuliko!! Mimi hapana siwezi kuwa na kichwa cha mwendawazimu kiasi hicho
 
Kama sio Gaidi si atashinda kesi? Haki ya mtu haipotei.
Sisi zetu dua. Na kazi. Mambo ya kwenda kumpigania hiyo hatumo. Assume uje ujue alikuwa anacheza mchezo ambapo wewe umekugharimu itakuwaje
 
CHADEMA na vyama vyetu vingne vya kisiasa wao hua hawakosei na ukiwagusa tu watakushambulia kwa matusi na kejeli.
Mnakumbuka bwana yule alietoka alfajiri baada ya mchungaji kufungulia ng'ombe wote ili wakapate majani yalio nona alivomnyea mchungaji huku akisahau mchungaji ameshika mjeledi wa moto.
Nakumbuka story ya ndege mmoja kwa jina la chichidodo..ni msafi sana huwez kuona amekanyaga mavi ila anakula wadudu watokao kwenye mavi
 
Matusi yann nduguyangu hii ndo democracia mnayoitaka?
 
Subira yavuta heri. Geduld bringt Rosen. Wanasema wenye Lugha Yao.
Mke Wangu na wanangu wao wanajua zaidi. Kwangu la msingi pumzi.

Kwanza nina declare interest Kwa Nchi yangu nilipozaliwa hata kama Sasa kwa miaka Hii Kumi na kitu nafanya nachofanya huku kwa baniani mbaya kiatu chake dawa.

Niseme pia naipenda sana nchi yangu Hii kuliko mambo ya Siasa. Vyama. Nk. Kwa nchi maskini inawafanya kuwa maskini zaidi kama mtaacha kazi zenu na kutafuta fujo. Ndo mana siwezi kuficha mahaba kwa aliyekuwa Rais wetu JPM. Na Sasa kama Mtanzania 95%. Nina mahaba na Mama yetu kama taasisi ya nchi yetu. Mahaba kwa JPM yalikuwa ile kutambua kwake kuwa Sasa time was ripe kuacha maneno na kupiga kazi. Kama Ukiwa unapitia page ya Serikali na Wizara ya afya utastaajabu miundo mbinu ya afya majengo ya nguvu yaliyojengwa na yanayoendelea kujenga nk.

Watu wa humu wanajikusanya wanaambiana tuandike uzi then tucomment wenyewe na akiingia mtu kinyume Ni matusi na lugha siziso na staha. Ukiwauliza utawaskia wazee wa kufuata katiba na Demokrasia. It’s a pity Lakini bangi na ufuasi ndezi umewafilisha Hapo. Naipenda ista mana kule utawaona wananchi na hisia zao.

Bwana Mbowe kakamatwa na tuhuma Ni ugaidi. Hao ndo Polisi wamesma. Geduld bringt Rosen. Subira yavuta heri. Sasa kila mtu mjinga anakurupuka kupinga nk. Nikakumbuka jinsi Leo Polisi walivyokwenda na kuwaaokoa watu kwenye jengo la hoteli lilokuwa linaungua. Kuna mema wanafanya. Nawaza kuhusu Amani ya Mali na watu. Kuna mema wanafanya. Sasa wamemkamata Mbowe. Wao sio mahakama. Wana weledi wa kazi Yao. Tuwape muda kama wengine wakina Sabaya nk. Kuna watu walilieta Uzi wa makonda kukamatwa wakashangalia sana. JE MAKONDA NA SABAYA HAWAJAPIGWA CHANJO ALIYOPIGWA MBOWE?

Antimakosa against any kosa. Ukichanjwa wewe unakuwa Sawa na mungu. Nimeweka M herufi ndogo kuonyesha mambo ya kidunia haya.

Miezi 4 nyuma. Wana wa Antimakosa, walisema mungu wao ametenda. Anaua. Waneomba weeeee Sasa maombi yakaskiwa na huyo new and Personal god. Herufi G ndogo kutofautisha. Mwezi wa saba huu huyo g Sijui Sasa G kawaita ndugu wa damu wa Mbowe. Vipi Sasa Nani kaomba. The so called Sukumagang au. Mkuki kwa nguruwe.

Mi niwaambie kila mtu atakufa na kama mambo ya Mungu M kubwa. Yeye ndo kwake waovu wanaishi muda mrefu sana katika ngozi ya kondoo ili wapate muda wa kutubu na Wema huondoka mapema ili wasijeharibiwa na ulimwengu. Hayo mambo ya biblia. Sijui Q inasemaje.

So long as MBOWE NI MWANADAMU Ana uwezo wa kufanya makosa. Na Yale mavazi ya damu, pamoja kwa yenyewe kama yenyewe kuitwa nguo tu. Lakini watu wenye kupenda kuamua damu izunguke ubongoni watajiuliza mengi sana. Ukiona wewe unaona kawaida na mafallacy ya kuhalalisha Basi jua unaumwaaa. Kunywa aspro damu itembee.

Either he is guilty or not Guilty. Je Sisi kazi yetu Ni Nini. Subira. Muda utaongea. No one is Perfect. Na Hakuna aliyechanjwa kutofanya makosa. Let us wait.

Tanzania kwanza, maendeleo kwanza kabla ya maujinga yoyote ya maslahi binafsi kwa mgongo wa watanzania 80%.
Itoshe kusema wewe ni Don Nalimison
 
Back
Top Bottom