Madhara ya kufeli kwa bajeti ya Mwigulu tutayaona kwenye deni la Taifa

Naanto Mushi

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
6,236
15,600
Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri.

Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo kulingana na kupanda kwa bei, imesababisha 'price equillibrium' imepotea kabisa.

Maana yake ni kwamba bei mpya baada ya kodi na tozo, imesababisha wanunuzi kutokuhisi uhalali wa kununua kwa bei mpya. Mfano mdogo tu, mimi nilikuwa namiliki line mbili za simu, ila tangu tarehe moja, ni kama line moja nimeitelekeza na sijafanya muamala wowote wa kutuma wala kutoa pesa kwa wakala, kwasababu, akili yangu inaniambia hii bei ya sasa ni kubwa mno kulinganisha na huduma ninayopata.

Matokeo yake ni nini sasa?
Muitikio ukiwa mdogo kwa walaji, itakuwa ngumu sana kwa Mwigulu kuweza kukusanya kiasi ambacho amakitegemea. Kumbuka serikali ime target zaidi ya Tzs 1.5 Trillioni itoke kwenye miamala ya simu na tozo.

Sasa kwa upepo ulivo, sidhani kama hata nusu ya hii itapatikana. So maana yake, bajeti ya Mwigulu mpaka sasa ina shimo la karibu zaidi ya Tzs 1 Trillioni ambayo ili liweze kujazwa, itabidi serikali ikope, maana kumbuka kuna miradi ya SGR na Bwawa la umeme bado inahitaji pesa.

Ni kama kusema, tayari nakisi ya bejeti yetu tayari ipo kubwa zaidi ya walivoitabiri, kwasababu kuna kodi na tozo hazitaweza kukusanywa kama hii ya miamala ya simu.

Ama kwa kweli Mwigulu amefeli sana, tena sana.. Anasema eti hizi tozo zitatumika kuunda mfuko wa kizalendo, ila ni uwongo kwa sababu huwezi kuwa na mfuko wa kizalendo wakati bajeti yako siku zote ipo kwenye nakisi.

Ni kama kusema eti mtu uweke akiba ya mtoto kwenda shule wakati unadaiwa kodi ya nyumba.. Ni kitu hakiwezekani ni kuwadanganya tu watu, maana ameshabugi.

Kama inawezekana kurudia bajeti, nashauri Mwigulu afanye hivo mapema, la sivo.. naona deni la taifa likiendelea kupaa just kwa mtu kushindwa kufanya kazi yake vema.
 
Mkuu

umeshusha nondo zaⁿ kueleweka!! Hongera sana! Najua Mh. Nchemba atapita hapa au watu wake wanao mumudu watamwonyesha hii nondo na itakuwa vema akiona namna ya ku-respond in kind!! Mkuu umeitendea haki Jf!!
 
Ila mwingulu ana nyota mbaya ya kutopendwa hi bajeti sio yake aliikuta imeshaandaliwa na Mpango, na imepitishwa na Bunge baada Raisi kulidhia nayo. Ila sasa mslaba wote kaubeba yeye......sema tu nalyeshewe lina upumbavu fulani kujipendekeza na unafiki paka litimuliwe ndo lipate akiri unasapoti je tozo kubwa la miamala kama hilo jinga kabisa
 
Mimi mteja wangu aliniletea kifaa kutengeneza alimtuma mtu kwenye simu nika mjulisha gharama za vipuli ni elfu 20,000 gharama za matengenezo elfu 10,000 nikamsihi atume 20,000 kwaajili ya vipuli alikataa na kuomba nitumie njia mbadala hawezi kutuma pesa kwasabababu ya makato ni makubwa nakuniomba nijitahidi kutengeneza siku hiyo maana anakihitaji sana kwa mfano huu serikali imekosa hiyo kodi ya uzalendo na wenye mitandao wamekosa pesa
 
Mkuu

umeshusha nondo zaⁿ kueleweka!! Hongera sana! Najua Mh. Nchemba atapita hapa au watu wake wanao mumudu watamwonyesha hii nondo na itakuwa vema akiona namna ya ku-respond in kind!! Mkuu umeitendea haki Jf!!
Pamoja sana mkuu
 
Ila mwingulu ana nyota mbaya ya kutopendwa hi bajeti sio yake aliikuta imeshaandaliwa na Mpango, na imepitishwa na Bunge baada Raisi kulidhia nayo. Ila sasa mslaba wote kaubeba yeye......sema tu nalyeshewe lina upumbavu fulani kujipendekeza na unafiki paka litimuliwe ndo lipate akiri unasapoti je tozo kubwa la miamala kama hilo jinga kabisa
Inawezekana ni kweli ukichosema, ila angetakiwa kutumia common sense.. hakutakiwa kum trust Mpango eti kwamba alikuwa ameshaandaa bajeti..yeye angetumia akili zake..

Ina maana kama anashindwa kutoa critique kwenye kazi ya mtu mwingine, ile PhD yake ina msaada gani?
 
Mimi mteja wangu aliniletea kifaa kutengeneza alimtuma mtu kwenye simu nika mjulisha gharama za vipuli ni elfu 20,000 gharama za matengenezo elfu 10,000 nikamsihi atume 20,000 kwaajili ya vipuli alikata na kuomba nitumie njia mbadala hawezi kutuma pesa kwasabababu ya makato ni makubwa nakuniomba nijitahidi kutengeneza siku hiyo maana anakihitaji sana kwa mfano huu serikali imekosa hiyo kodi ya uzalendo na wenye mitandao wamekosa pesa
Na ndio itavokuwa hivo.. kwa hiyo volume ya miamala itapungua na kuathiri hata zile income za makampuni ya simu.

Na hii ndo inakuambia kwamba bei ya kitu haistahimiliki.. na usitegee watu watakuja kuzoea hizi tozo .haiwezi kuwa kirahisi kiasi hicho
 
Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri.

Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo kulingana na kupanda kwa bei, imesababisha 'price equillibrium' imepotea kabisa.

Maana yake ni kwamba bei mpya baada ya kodi na tozo, imesababisha wanunuzi kutokuhisi uhalali wa kununua kwa bei mpya. Mfano mdogo tu, mimi nilikuwa namiliki line mbili za simu, ila tangu tarehe moja, ni kama line moja nimeitelekeza na sijafanya muamala wowote wa kutuma wala kutoa pesa kwa wakala, kwasababu, akili yangu inaniambia hii bei ya sasa ni kubwa mno kulinganisha na huduma ninayopata.

Matokeo yake ni nini sasa?
Muitikio ukiwa mdogo kwa walaji, itakuwa ngumu sana kwa Mwigulu kuweza kukusanya kiasi ambacho amakitegemea. Kumbuka serikali ime target zaidi ya Tzs 1.5 Trillioni itoke kwenye miamala ya simu na tozo.

Sasa kwa upepo ulivo, sidhani kama hata nusu ya hii itapatikana. So maana yake, bajeti ya Mwigulu mpaka sasa ina shimo la karibu zaidi ya Tzs 1 Trillioni ambayo ili liweze kujazwa, itabidi serikali ikope, maana kumbuka kuna miradi ya SGR na Bwawa la umeme bado inahitaji pesa.

Ni kama kusema, tayari nakisi ya bejeti yetu tayari ipo kubwa zaidi ya walivoitabiri, kwasababu kuna kodi na tozo hazitaweza kukusanywa kama hii ya miamala ya simu.

Ama kwa kweli Mwigulu amefeli sana, tena sana.. Anasema eti hizi tozo zitatumika kuunda mfuko wa kizalendo, ila ni uwongo kwa sababu huwezi kuwa na mfuko wa kizalendo wakati bajeti yako siku zote ipo kwenye nakisi.

Ni kama kusema eti mtu uweke akiba ya mtoto kwenda shule wakati unadaiwa kodi ya nyumba.. Ni kitu hakiwezekani ni kuwadanganya tu watu, maana ameshabugi.

Kama inawezekana kurudia bajeti, nashauri Mwigulu afanye hivo mapema, la sivo.. naona deni la taifa likiendelea kupaa just kwa mtu kushindwa kufanya kazi yake vema.
Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo kulingana na kupanda kwa bei, imesababisha 'price equillibrium' imepotea kabisa.
 
Ila mwingulu ana nyota mbaya ya kutopendwa hi bajeti sio yake aliikuta imeshaandaliwa na Mpango, na imepitishwa na Bunge baada Raisi kulidhia nayo. Ila sasa mslaba wote kaubeba yeye......sema tu nalyeshewe lina upumbavu fulani kujipendekeza na unafiki paka litimuliwe ndo lipate akiri unasapoti je tozo kubwa la miamala kama hilo jinga kabisa
Sasa anailinda ya nini kama ilikuwa ilishapitishwa na mpango? Yeye si ndiye waziri wa fedha kwanini hakurekebisha vipengele?

Ni fala tu
 
Pamoja sana mkuu wa kazi
Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo kulingana na kupanda kwa bei, imesababisha 'price equillibrium' imepotea kabisa.
 
Bajeti ya Mwigulu imeshaonesha kwamba haitakuwa na matokeo mazuri kwenye uchumi. Hisia za kodi kuwa kubwa tena kwenye bidhaa muhimu ni dhahiri.

Kwenye uchumi, kuna kitu tunakiita 'Equillibrium Price' - yaani ile bei ambayo mnunuzi na muuzaji wataafikiana. Sasa kuna baadhi ya bidhaa ambazo kulingana na kupanda kwa bei, imesababisha 'price equillibrium' imepotea kabisa.

Maana yake ni kwamba bei mpya baada ya kodi na tozo, imesababisha wanunuzi kutokuhisi uhalali wa kununua kwa bei mpya. Mfano mdogo tu, mimi nilikuwa namiliki line mbili za simu, ila tangu tarehe moja, ni kama line moja nimeitelekeza na sijafanya muamala wowote wa kutuma wala kutoa pesa kwa wakala, kwasababu, akili yangu inaniambia hii bei ya sasa ni kubwa mno kulinganisha na huduma ninayopata.

Matokeo yake ni nini sasa?
Muitikio ukiwa mdogo kwa walaji, itakuwa ngumu sana kwa Mwigulu kuweza kukusanya kiasi ambacho amakitegemea. Kumbuka serikali ime target zaidi ya Tzs 1.5 Trillioni itoke kwenye miamala ya simu na tozo.

Sasa kwa upepo ulivo, sidhani kama hata nusu ya hii itapatikana. So maana yake, bajeti ya Mwigulu mpaka sasa ina shimo la karibu zaidi ya Tzs 1 Trillioni ambayo ili liweze kujazwa, itabidi serikali ikope, maana kumbuka kuna miradi ya SGR na Bwawa la umeme bado inahitaji pesa.

Ni kama kusema, tayari nakisi ya bejeti yetu tayari ipo kubwa zaidi ya walivoitabiri, kwasababu kuna kodi na tozo hazitaweza kukusanywa kama hii ya miamala ya simu.

Ama kwa kweli Mwigulu amefeli sana, tena sana.. Anasema eti hizi tozo zitatumika kuunda mfuko wa kizalendo, ila ni uwongo kwa sababu huwezi kuwa na mfuko wa kizalendo wakati bajeti yako siku zote ipo kwenye nakisi.

Ni kama kusema eti mtu uweke akiba ya mtoto kwenda shule wakati unadaiwa kodi ya nyumba.. Ni kitu hakiwezekani ni kuwadanganya tu watu, maana ameshabugi.

Kama inawezekana kurudia bajeti, nashauri Mwigulu afanye hivo mapema, la sivo.. naona deni la taifa likiendelea kupaa just kwa mtu kushindwa kufanya kazi yake vema.
Tatizo liko kwa mama, wizara nyeti unamkabidhi mtu wa hovyo kweli!
 
Mimi pengine nahisi kila wizara iajiri Waziri ambae ni msomi wa fani husika ; kama ni sheria then mwanasheria ndio awe waziri, kama ni uchumii kuwe na mchumi,Mwigulu kupitisha bajeti iliyoandaliwa na Mpango ni dhahiri hakujua afanye nini na hio bajeti,utaona mapungufu au ku critique kitu hauko familiar nacho ??
 
Professional cabinet CCM hawaiwezi watashindwa kuendesha nchi kwasababu wadeshaji wao ni wa masirahi ya chama ni ya try and error system haweshimu Professionalism
 
Back
Top Bottom