Wanasiasa wanaofanya ugaidi wapo, Serikali ichukue hatua kali zaidi

Countrywide

JF-Expert Member
Mar 2, 2015
8,034
2,000
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?

Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza kukubaliana na mimi kuwa yule bwana ni gaidi 100%, weka pembeni mihemko anza kufatilia kwa umakini zaidi.

Angalia haya matukio chini alafu utapata jibu;
 • Kifo cha Chacha Wangwe; huyu wote tunakumbuka kilichotokea baada tu ya kuhoji hoji ukomo wa madaraka chamani na matumizi ya ruzuku.
 • Kulishwa sumu Zitto ; Zitto alinusurika Kulishwa sumu na kuuwawa, kila kitu kilienda sawa ili kumuondoa ila umahiri wa zitto kwenye kutegua mbinu za kigaidi ndio uliofanya awe hai Hadi leo. Kosa ni kutishia nafasi ya mwenyekiti
 • Kutishiwa maisha Dr.Slaa ; baada ya Dkt. Slaa kuamua kuachana na siasa kipindi cha kampeni baada ya ujio wa lowassa. Bwana yule hakupendezwa kabisa na Hilo suala hivyo akaapa kumshughulikia Slaa. Slaa baada ya kuona hivyo akaamua kukimbia kabisa nchini ili kuokoa uhai wake.
 • Kupotea Ben Saanane ; huyu wengi walikuwa wanaisingizia serikali lakini alikuwa na bifu nzito sana na boss wake na huenda boss wake aliamua kumshughulikia eti kwa sababu alikuwa bado anawasiliana na Dr.Slaa na Kuna Siri za chama anampa Slaa.
 • Sumaye Kutishiwa ; baada ya Sumaye kuonyesha nia ya kugombea akaambiwa kule Arusha kuwa sumu haionjwi. Wengi tunakumbuka Sumaye alivyotishwa na kama angeendelea kung'ang'ania basi Leo tungekuwa tunaongea mengine
Hayo ni baadhi tu ya matukio mengi ambayo serikali ilipaswa kumtia nguvuni bwana yule muda mrefu sana, kwa hili nailaumu sana serikali kuchelewa kugundua haya magaidi ambayo yamejificha nyuma ya siasa.

Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,460

Halafu wanajisifu kuwa wanatumia TOPAZ mkuu, sijui ni TOPAZ ya nchi gani

malang0

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
442
1,000

Wewe habari zakuchonga zinakusaidia nini? Kesi siyo siasa ni vithibitisho, pia wao wamesema viongozi wa serikali uongo wako upo hapo?
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,460
2,000
Hizi lugha ndizo zinazochea hasira kwa mama, ina maana Magufuli mlimuua sio, hili jambo lisipite hivihivi maana ushahidi umejitosheleza hapa

Na hizi lugha zita gharimu sana mwenyekiti. Kimya chake kina maanisha kuwa amebariki na yeye ndio kawatuma

ACHA KAZI IENDELEE
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
658
1,000
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?

Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza kukubaliana na mimi kuwa yule bwana ni gaidi 100%, weka pembeni mihemko anza kufatilia kwa umakini zaidi.

Angalia haya matukio chini alafu utapata jibu;
 • Kifo cha Chacha Wangwe; huyu wote tunakumbuka kilichotokea baada tu ya kuhoji hoji ukomo wa madaraka chamani na matumizi ya ruzuku.
 • Kulishwa sumu Zitto ; Zitto alinusurika Kulishwa sumu na kuuwawa, kila kitu kilienda sawa ili kumuondoa ila umahiri wa zitto kwenye kutegua mbinu za kigaidi ndio uliofanya awe hai Hadi leo. Kosa ni kutishia nafasi ya mwenyekiti
 • Kutishiwa maisha Dr.Slaa ; baada ya Dkt. Slaa kuamua kuachana na siasa kipindi cha kampeni baada ya ujio wa lowassa. Bwana yule hakupendezwa kabisa na Hilo suala hivyo akaapa kumshughulikia Slaa. Slaa baada ya kuona hivyo akaamua kukimbia kabisa nchini ili kuokoa uhai wake.
 • Kupotea Ben Saanane ; huyu wengi walikuwa wanaisingizia serikali lakini alikuwa na bifu nzito sana na boss wake na huenda boss wake aliamua kumshughulikia eti kwa sababu alikuwa bado anawasiliana na Dr.Slaa na Kuna Siri za chama anampa Slaa.
 • Sumaye Kutishiwa ; baada ya Sumaye kuonyesha nia ya kugombea akaambiwa kule Arusha kuwa sumu haionjwi. Wengi tunakumbuka Sumaye alivyotishwa na kama angeendelea kung'ang'ania basi Leo tungekuwa tunaongea mengine
Hayo ni baadhi tu ya matukio mengi ambayo serikali ilipaswa kumtia nguvuni bwana yule muda mrefu sana, kwa hili nailaumu sana serikali kuchelewa kugundua haya magaidi ambayo yamejificha nyuma ya siasa.

Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.
kabla hawajachukua hizo hatua mi naona waanze na wewe, ukaisaidie mahakama maana unaushaidi la sivyo wakufungulie faili la uchochezi.
 
mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
13,460
2,000
Kiwango chako si cha kushabikia ujinga kama huu. Mwenye akili CCM amebaki johnthebaptist peke yake?

Kiwango changu kipi hicho unachoongelea?

Kuna ushabiki gani kwenye kauli mnazotoa wenyewe kwa midomo yenu kumtishia rais halali wa JMT?

Kaa kwa kutulia na baada ya hili mjifunze
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,794
2,000
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?

Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza kukubaliana na mimi kuwa yule bwana ni gaidi 100%, weka pembeni mihemko anza kufatilia kwa umakini zaidi.

Angalia haya matukio chini alafu utapata jibu;
 • Kifo cha Chacha Wangwe; huyu wote tunakumbuka kilichotokea baada tu ya kuhoji hoji ukomo wa madaraka chamani na matumizi ya ruzuku.
 • Kulishwa sumu Zitto ; Zitto alinusurika Kulishwa sumu na kuuwawa, kila kitu kilienda sawa ili kumuondoa ila umahiri wa zitto kwenye kutegua mbinu za kigaidi ndio uliofanya awe hai Hadi leo. Kosa ni kutishia nafasi ya mwenyekiti
 • Kutishiwa maisha Dr.Slaa ; baada ya Dkt. Slaa kuamua kuachana na siasa kipindi cha kampeni baada ya ujio wa lowassa. Bwana yule hakupendezwa kabisa na Hilo suala hivyo akaapa kumshughulikia Slaa. Slaa baada ya kuona hivyo akaamua kukimbia kabisa nchini ili kuokoa uhai wake.
 • Kupotea Ben Saanane ; huyu wengi walikuwa wanaisingizia serikali lakini alikuwa na bifu nzito sana na boss wake na huenda boss wake aliamua kumshughulikia eti kwa sababu alikuwa bado anawasiliana na Dr.Slaa na Kuna Siri za chama anampa Slaa.
 • Sumaye Kutishiwa ; baada ya Sumaye kuonyesha nia ya kugombea akaambiwa kule Arusha kuwa sumu haionjwi. Wengi tunakumbuka Sumaye alivyotishwa na kama angeendelea kung'ang'ania basi Leo tungekuwa tunaongea mengine
Hayo ni baadhi tu ya matukio mengi ambayo serikali ilipaswa kumtia nguvuni bwana yule muda mrefu sana, kwa hili nailaumu sana serikali kuchelewa kugundua haya magaidi ambayo yamejificha nyuma ya siasa.

Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.
Wewe na walio nyuma YAKO, mmelaniwa, na laana uendelee kua juu yenu, mungu hatakubali kizazi chenye unafiki, propaganda kwenye maisha ya watu kuendelee kuishi ,atakifuta, na kitapotea mmoja baada ya mwingine,
 
CHIBURABANU

JF-Expert Member
Sep 19, 2013
2,555
2,000
Wewe na walio nyuma YAKO, mmelaniwa, na laana uendelee kua juu yenu, mungu hatakubali kizazi chenye unafiki, propaganda kwenye maisha ya watu kuendelee kuishi ,atakifuta, na kitapotea mmoja baada ya mwingine,
Neno amen maana yake ni na iwe hivyo.
 
STREET SMART

JF-Expert Member
Feb 19, 2010
797
1,000
Zamani kidogo ilikuwa ni kama tetesi na utani tu kuwa yule bwana anawamaliza wote wanaompinga kwenye chama chake.
Hili halikupaswa kupuuzwa na nilikuwa mmoja wa watu niliokuwa nazishangaa mamlaka kwa nini hawachukui hatua? Kwa nini hawamchunguzi?

Ukifatilia matukio yaliyowahi kutokea unaweza kukubaliana na mimi kuwa yule bwana ni gaidi 100%, weka pembeni mihemko anza kufatilia kwa umakini zaidi.

Angalia haya matukio chini alafu utapata jibu;
 • Kifo cha Chacha Wangwe; huyu wote tunakumbuka kilichotokea baada tu ya kuhoji hoji ukomo wa madaraka chamani na matumizi ya ruzuku.
 • Kulishwa sumu Zitto ; Zitto alinusurika Kulishwa sumu na kuuwawa, kila kitu kilienda sawa ili kumuondoa ila umahiri wa zitto kwenye kutegua mbinu za kigaidi ndio uliofanya awe hai Hadi leo. Kosa ni kutishia nafasi ya mwenyekiti
 • Kutishiwa maisha Dr.Slaa ; baada ya Dkt. Slaa kuamua kuachana na siasa kipindi cha kampeni baada ya ujio wa lowassa. Bwana yule hakupendezwa kabisa na Hilo suala hivyo akaapa kumshughulikia Slaa. Slaa baada ya kuona hivyo akaamua kukimbia kabisa nchini ili kuokoa uhai wake.
 • Kupotea Ben Saanane ; huyu wengi walikuwa wanaisingizia serikali lakini alikuwa na bifu nzito sana na boss wake na huenda boss wake aliamua kumshughulikia eti kwa sababu alikuwa bado anawasiliana na Dr.Slaa na Kuna Siri za chama anampa Slaa.
 • Sumaye Kutishiwa ; baada ya Sumaye kuonyesha nia ya kugombea akaambiwa kule Arusha kuwa sumu haionjwi. Wengi tunakumbuka Sumaye alivyotishwa na kama angeendelea kung'ang'ania basi Leo tungekuwa tunaongea mengine
Hayo ni baadhi tu ya matukio mengi ambayo serikali ilipaswa kumtia nguvuni bwana yule muda mrefu sana, kwa hili nailaumu sana serikali kuchelewa kugundua haya magaidi ambayo yamejificha nyuma ya siasa.

Tuupige vita ugaidi, tuwamulike magaidi wote wanaojificha nyuma ya kivuli cha siasa.
Kama hayo yote ynafanywa na unaowahisi na serikali haijawahi kuthibitisha hilo wala kuwachukulia Hatua za kiserikali, basi walio madarakani ndo tatizo kubwa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom