Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 2,127
- 6,729
Tumepokea taarifa kuwa Mwenyekiti Mbowe hayupo kiituo cha Polisi cha Oysterbay , na Polisi hawataki kusema amepelekwa wapi. Tunawataka Polisi watoe taarifa za alipo Mwenyekiti ili aweze kupatiwa mahitaji.