Elli
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 55,491
- 86,007
Makada na viongozi was ccm wanaendelea kufanya mikusanyiko bila kuchukua tahadhari, week hii tumeshuhudia UVCCM wakifanya mkutano Dodoma, Katambi akifanya mikusanyiko Kahama, Mwigulu akijifanya kuzuiwa na Wananchi Tunduma,
CCM wakiwa wamejificha nyumbani wakifanya mikutano bila kuchukua tahadhari, shughuli za Mwenge nazo zikiendelea kama kawaida....
Najiuliza, HAWA CCM WANAFANYA HAYA KWA MAKUSUDI AU?? Muda utaongea!
Wakati @ChademaTz wakizuiwa kufanya Kongamano la katiba Jijini Mwanza kuepusha maambukizi ya Corona Mkoani humo,mbunge wa Nyamagana Stanslaus Mabula ameendelea kufanya mikutano na wananchi huku kukiwa hakuna tahadhari zozote zinazochukuliwa dhidi ya Covid 19 Kwenye mikutano hiyo