Mbunge aliyegawa barakoa zilizoisha muda wake

KHALFANI 86

Member
May 16, 2020
14
24
Mbunge wa viti maalumu aliyegawa barakoa zilizoisha muda wake alishindwa vipi kuzifuatilia na kuzihakiki barakoa alizozigawa kama zina uhai wa kutumiwa mpaka kuzigawa kwa watu na hali zimeisha muda wake? Je kama zingelikuwa na madhara angeeleza nini? Muda mwingine tujifunze kuhakiki vitu kabla ya kuvitumia
20210725_001101.jpg
 
Back
Top Bottom