Hakuna Pro-CCM mwenye uwezo wa kujadili mambo ya maana hadi sasa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,499
86,037
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
 
Mkuu eli M

Hivi Mbowe ndiye alimkaribisha Lowassa kugombea uraisi kwa tiketi ya CHADEMA? Na kwa nini walimruhusu?

Hivi kwa nini Zitto Kabwe aliondoka CHADEMA na kuanzisha chama chake?

Slaa kwa nini aliondoka CHADEMA? na sasa hivi yuko wapi?, kama Slaa alikuwa anapinga chama tawala ilikuwaje akakubali offer aliyopewa na serikali chini ya chama tawala?

Halima Mdee sasa hivi yuko wapi?
 
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.

Sasa hapa tunajadili nini? Au nasema uongo ndugu zanguπŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†

20210724_195112.jpg
images (9).jpeg
 
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Kujadili hayo mambo unayosema, inahitaji uwe na akili, busara na uelewa wa kiwango fulani. Huko CCM, ni nani mwenye sifa hizo?

TWAWEZA kwenye utafiti wao waliwahi kutamka kuwa huko CCM, wengi walioko ni wale wasio na akili. Professor Asad naye, akasema huko zaidi ya 60% wanafanya kazi ambazo jawana uwezo nazo.

Tupo kwenye hasara kubwa. Yaani umtegemee mtu asiye na akili akuongoze, na ufanikiwe, maajabu!
 
Huko chadema ndio kuna sifa ipi kwa mfano!? Hawa majamaa hamna kitu wanaweza mwambia mtanzania mwenye akili. Watabaki huko twita, jf, wakisaidiwa na wafadhili wao CNN, BBC na wenzao

Ila kwetu sie wananchi tulio wengi tunasemaaaaa hamna kitu wanaweza kutuambia

20210724_195112.jpg
images (9).jpeg
 
Kujadili hayo mambo unayosema, inahitaji uwe na akili, busara na uelewa wa kiwango fulani. Huko CCM, ni nani mwenye sifa hizo?

TWAWEZA kwenye utafiti wao waliwahi kutamka kuwa huko CCM, wengi walioko ni wale wasio na akili. Professor Asad naye, akasema huko zaidi ya 60% wanafanya kazi ambazo jawana uwezo nazo.

Tupo kwenye hasara kubwa. Yaani umtegemee mtu asiye na akili akuongoze, na ufanikiwe, maajabu!
Hahahaa umeiweka vizuri sana sana hii
 
Hili liko wazi kabisa, CCM wote ni low minded pakubwa sana, huwezi kusikia wanakuja na mijadala makini yenye maslahi kwa Taifa, huwezi kamwe kuwasikia wakijadili kuhusu hatma ya Taifa, huwezi kuwasikia wakizungumzia mapungufu ya Katiba, huwezi kuwasikia wakizungumzia kwa mfano kuhusu Ujinga wa Tozo, kupanda kwa ruzuku ya mbolea etc.

Leo hii baada ya kupinga Covid 19 Vaccination kwa nguvu, ndio wa kkwanza kupanga foleni ili wachanjwe. Leo hii hawaimbi tena kuhusu kuwekeza Chato, huwasikii tena wakizungumzia kuhusu Elimu bure!

Wao ni CHADEMA kucha kuchwa, CHADEMA na Mbowe yaani utadhani hao ndio Taifa, ndio serikali au ndio Katiba ya nchi.

Natambua uwepo wa Wana-CCM wenye akili wachache ambao kila wakijaribu kufukurukuta wanabinywa.

CCM ni chama cha wapiga soga wasiojua wanachokitaka.
Ukitaka kukifahamu kiwango cha mtu kufikiri ,basi msubirie AUFUNGUE MDOMO.....

Mtoa POST anataka awaaminishe "watoto"....si watu wazima ya kwamba CCM yenye wanachama,wapenzi na mashabiki wengi zaidi nchini na katika kila hatua za kimaisha(walks of life) hawana watu wenye WELEDI WA KUCHAMBUA HOJA ZA KISIASA,KIUCHUMI NA KIJAMII....

Ikiwa ni SIASA hasimu ,kujifagilia kwa chama chake ,utani ama propaganda basi yuko SAHIHI KABISA.....

Laa sivyo ,basi atakuwa na UWEZO MDOGO WA UTAMBUZI WA MAMBO KUNTU na kutoijua historia ya CCM na wanachama wake kwa KUEGEMEA "argumentum ad hominem" ndani ya HOJA yoyote iwayo.....

Mwisho kabisa ninapenda kumkumbusha tu kuwa , katika jambo lolote la WENGI....la wanajamii asipende KUWATIA WATU WOTE katika kapu moja kisa tu Yuko mwanajamii aliyemuona na sifa hizo anazozikosoa vikali.

Hili linafanyika na baadhi ya watu KIDINI ,KIKANDA ,KIKABILA,KITAMADUNI ,KIWAJIHI ,NA KIMTAZAMO!!!

Siempre CCM!
Hasta la Victoria CCM!
Aluta Continue

YETZER HA-TOV

#KaziInaendelea
 
πŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ@Jumbe Brown nakuita
 
Umesoma nilichoandika between lines au umesoma title na kuandika?
 
Hebu mtafakari mh.Mbowe....

Mfikirie vyema tu kuwa yeye ,kamati kuu na Dr.Slaa walikuwa na MKUTANO MKUBWA ULIOFANA pale Mwembeyanga Temeke.....

Mkutano ule wa hadhara uliibuka na kiitwacho "LIST OF SHAME"...ya kwamba CCM imetamalaki mafisadi wanaoitafuna nchi yetu....wakamshambulia Sana mh.Laigwanan E.N.Lowassa.....

Miaka michache baadaye WALIMPOKEA mh.Lowassa na KUMSAFISHA kwa zile tuhuma walizotoa.....

Mh.Mbowe aliongoza "KUPIGA DEKI" huko kwa kusema "AMEBADILI GIA ANGANI"🀣

KUBADILI HUKO GIA ANGANI kukamfanya Dr.Slaa AIKIMBIE NCHI na kusema HAWEZI KUGEUKA tambara la kusafisha uchafu......
πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†

Hii ndiyo CHADEMA YA MH.MBOWE....

Wakati wao wakiisema CCM imeishiwa na kupauka ,WAZEE WA GIA ANGANI wanakuachia "maswali mengi yasiyo majibu".......

#KaziIendelee
#SiempreCCM
 
Chadema huwa hawana soni
 
Back
Top Bottom