Rais Samia anaogopa vipi chama kisicho na mbunge?

technically

JF-Expert Member
Jul 3, 2016
11,975
48,843
Yaani CHADEMA hawana mbunge hata mmoja lakini Samia na magenge yake wanaogopa chadema kama vile kinalingana wabunge na ccm.

Yaani mnadhani Chadema ni Mbowe?

Yaani mpaka Leo bado hamjui Chadema ni nini na mtumie njia gani kupambana nayo?

Mnakuwa waoga waoga tu hata kulala hamlali macho yanawavimba? Kazi kukaa mkifikiria chama ambacho hakina mbunge hata mmoja.

Na wabunge 99% lakini hamjiamini tu?

Ushauri
Chadema wanataka haya
Katiba mpya ya wananchi
Utawala wa sheria
Uwazi wa mikataba
Uhuru wa vyombo vya habari
Uchumi shirikishi
Kodi iliyona ya haki
Diplomasia ya kimataifa.

Mkitaka kukiua chadema fanyeni hayo ila mkitaka kufa nyie mmoja baada ya mwingine shupazeni shingo tu.
 
Wanajua kabisa kwamba CDM ni Wananchi, Mbowe na wenzake ni madereva tu, chama kipo ndani ya mioyo ya Watz wengi.
Wananchi wenyewe hawa hawajielewi. Dereva amekamatwa lkn wamekaa kimya. Ingekuwa kule kwetu Faluja pangechimbika.
 
Hoja ya msingi kabisa,CCM wakikubali Katiba Mpya,Tume Huru ya Uchaguzi,wakiachia Uhuru wa habari,wakiondoa unyanyasaji wa Wananchi, wakaachilia siasa zifanyike na kuweka kodi rafiki:Upinzani utapungua sana na maendeleo yangepatikana kwa kasi kubwa.Jambo la kusikitisha ni kwamba akili za CCM wanazifahamu wao wenyewe.Hawana uwezo wa kusoma alama za nyakati.

CCM ni sikio la kufa.Ila yote kwa yote,tunataka kuandika Katiba ya Wananchi wa Tanzania na hakuna wa kutuzuia maana ni Haki yetu sisi kama wenye nchi.
 
Wananchi wanajielewa ndiyo maana bado hapajachimbika.CCM wanayafanya hata ya kukamata,kuteka,kuzuia siasa kwa wengine ili kuwachokoza Wananchi.
Huyo Mh.Mbowe mnamshikilia kinyume cha sheria naye ashawaambia haombi hata dhamana ili aibu iwarejee CCM.Mtawaweka ndani Watanzania wangapi?Mnapambana na Wananchi?
 
Hizo ajenda za Chadema mnazozitengeneza kulingana na matukio? Nyie semeni tu mnaitaka Ikulu kwa gharama yoyote ile na maza kashawastukia hamna rangi mtaacha kuona.
Kwa hiyo umeishagwaya? Kamshauri Goddess basi akubali katiba mpya angalau kwa Tanganyika kama walivyofanya kwao
 
Hoja ya msingi kabisa,CCM wakikubali Katiba Mpya,Tume Huru ya Uchaguzi,wakiachia Uhuru wa habari,wakiondoa unyanyasaji wa Wananchi, wakaachilia siasa zifanyike na kuweka kodi rafiki:Upinzani utapungua sana na maendeleo yangepatikana kwa kasi kubwa.Jambo la kusikitisha ni kwamba akili za CCM wanazifahamu wao wenyewe.Hawana uwezo wa kusoma alama za nyakati.

CCM ni sikio la kufa.Ila yote kwa yote,tunataka kuandika Katiba ya Wananchi wa Tanzania na hakuna wa kutuzuia maana ni Haki yetu sisi kama wenye nchi.
AMEN
 
Hoja ya msingi kabisa,CCM wakikubali Katiba Mpya,Tume Huru ya Uchaguzi,wakiachia Uhuru wa habari,wakiondoa unyanyasaji wa Wananchi, wakaachilia siasa zifanyike na kuweka kodi rafiki:Upinzani utapungua sana na maendeleo yangepatikana kwa kasi kubwa.Jambo la kusikitisha ni kwamba akili za CCM wanazifahamu wao wenyewe.Hawana uwezo wa kusoma alama za nyakati.

CCM ni sikio la kufa.Ila yote kwa yote,tunataka kuandika Katiba ya Wananchi wa Tanzania na hakuna wa kutuzuia maana ni Haki yetu sisi kama wenye nchi.
AMEN
 
Yaani CHADEMA hawana mbunge hata mmoja lakini Samia na magenge yake wanaogopa chadema kama vile kinalingana wabunge na ccm.

Yaani mnadhani Chadema ni Mbowe?

Yaani mpaka Leo bado hamjui Chadema ni nini na mtumie njia gani kupambana nayo?

Mnakuwa waoga waoga tu hata kulala hamlali macho yanawavimba? Kazi kukaa mkifikiria chama ambacho hakina mbunge hata mmoja.

Na wabunge 99% lakini hamjiamini tu?

Ushauri
Chadema wanataka haya
Katiba mpya ya wananchi
Utawala wa sheria
Uwazi wa mikataba
Uhuru wa vyombo vya habari
Uchumi shirikishi
Kodi iliyona ya haki
Diplomasia ya kimataifa.

Mkitaka kukiua chadema fanyeni hayo ila mkitaka kufa nyie mmoja baada ya mwingine shupazeni shingo tu.
Umesahau lockdown nchi nzima na chanjo ya covid

Pia itakuwa vizuri kama mtaanda maandamano

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri
Chadema wanataka haya
Katiba mpya ya wananchi
Utawala wa sheria
Uwazi wa mikataba
Uhuru wa vyombo vya habari
Uchumi shirikishi
Kodi iliyona ya haki
Diplomasia ya kimataifa.
nchi ikiweza kuyafanya haya kwa ufasaha itakuwa nchi ya asali na maziwa lakini ndugu hebu niambie nchi iliyoyaweza haya ambayo chadema unasema wanayataka ukinionyesha nchi moja tyu nahamia huko maana itakuwa ni paradiso maana hata ulaya hawawezi wenye uchumi uliosabiti
 
Back
Top Bottom