Hivi Tanzania kuna ugaidi?

Jul 23, 2021
7
45
Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi

Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?

Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
 
mmteule

JF-Expert Member
Oct 3, 2011
3,808
2,000
Yaweza kuwa hao Viongozi wetu Wazito akina KIJAZI, MFUGALE nk wanapulizwa kitu cha MRUSI Stuka kijana hiii ni karne ya Kizazi cha Laaana usimteteee mtu na nafsi yake. Kuna kundi linalengwa kwa Series ya hivi vifo siyo Burreee!
 
Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,113
2,000
Wapuuzi sana hawa, magaidi wako Southern Tanzania, Rwanda wamepeleka Wanajeshi, Tanzania ambao watu wao wameathirika wako busy kuwaumiza Wapinzani.

Kama sio udhaifu ni nini? Waende wakapambane na wenzao wenye silaha uone tutakavyowazika. Shenzi
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
3,888
2,000
Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi

Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?

Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Na kuita raisi dikteta ni sawa ?
Kuwaambia wafadhili na wawekezaji wasije Tanzania ni sawa.?
Mimi nadhani wamewasaidia na ajenda zenu juu ya Tanzania kutopewa misaada.

Kwa hiyo acha tu iwe hivyo, tukomeshe ugaidi kwanza. Tufungue nnchi.
 
wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
21,409
2,000
Yaweza kuwa hao Viongozi wetu Wazito akina KIJAZI, MFUGALE nk wanapulizwa kitu cha MRUSI Stuka kijana hiii ni karne ya Kizazi cha Laaana usimteteee mtu na nafsi yake. Kuna kundi linalengwa kwa Series ya hivi vifo siyo Burreee!
Hii sumu ni mbaya sana ogopa sana kitu kinasambaza kwa mionzi yaani uwe hata umbali wa mita 100 kitu kinalengeshwa kwako ile hewa tuu ikikupata puani ukaivuta kwisha habari yako.shikamoo mrusi.
 
Bujibuji

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,051
2,000
Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi

Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?

Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Kuna siku tutachinjana ili tuheshimiane
 
UPOPO

JF-Expert Member
Dec 17, 2010
3,043
2,000
Ila hawa polisi wa Tanzania wanatuaribia nchi ,wawekezaji wameenza kuja ghafla wanaambiwa kuna ugaidi.Samia kuwa macho mama vitu vidogo vidogo kutoka kwa watu hawa vitakuaribia mpaka uambiwe umekaribisha ugaidi .Ushauri tu mimi ni mtu wa kawaida tu ila nakusnauri dada mkubwa Samia.
 
barafuyamoto

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
31,587
2,000
Mbowe gaidi
Masheikh wa uamsho magaidi
Wakina lema waliwahi kukamatwa kwa ugaidi
Maalim seif gaidi

Hivi huu ugaidi huwa unafanyiwa wapi?
Mbona hatuoni hayo matukio mtaani ya kishamiri?
Tukiendelea na haya Mambo ya kusema ugaidi ugaidi tutafukuza wawekezaji?

Je hii nchi iliojaaa magaidi wengi si hatari Sana kuishi mbona tunawashangaa wakimbizi (lissu,lema nk)
Upo. Kamanda mbowe anajua
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
7,596
2,000
Neno GAIDI linakutisha kwa kuwa GAIDI WA KWANZA dunia ilimtambulisha kuwa ni OSAMA BIN LADEN?!!

Kamusi inaelezea UGAIDI ni nini....

Itafikia mahali tutaanza kutambua na kuacha KUKARIRI kuwa gaidi anaweza kuwa hata MHUJUMU UCHUMI....hata MHAINI.....

MAJAMBAZI wakubwa wanaoweza kufanya UHARIBIFU katika jamii pia ni Magaidi.....

#KaziIendelee
#NchiKwanza
#UtulivuKwanza
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,791
2,000
Ugaidi ni vitendo au mipango ya kuuwa watu wasio na hatia au kutekeleza mashambulizi ktk taasisi za umma na watu wake.
ni mtandao wa kihalifu.
Mbowe na kundi lake inasemekana walikuwa na mipango ya kutekeleza uhalifu ulio lenga kuuwa viongozi wa serikali na yeyote yule aliye onekana kukwaza harakati za chadema ktk kutafuta uongozi lkn pia kulenga ofisi za umma, kuwahofisha,kutishia usalama wa wananchi ta taifa kwa ujumla,n.k, hayo yote ni matendo ya kigaidi.
ugaidi ni uhalifu wa kiwango cha juu, kwa sasa dunia yote
 
pilipili kichaa

JF-Expert Member
Sep 3, 2013
12,798
2,000
Natamani Jeshi la polisi lingevunjwa waajiriwe kwa sifa mpya kabisa!
Jeshi hili halina tofauti na na lile la makaburu!
Kila kukicha kubambikizia watu kesi katili na za aibu ni jadi yao.
Kumbukeni mnajenga laana kwa watoto na wajukuu zenu kuja kuwa watu wa ajabu kutokana na laana na udhalimu mliopandikiza ktk Taida na adhabu yenu ni jehenam yenye mateso makubwa.
 
G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
662
1,000
Ugaidi wa Tanzania una maana tofauti na ule wa sehwmu nyingine duniani. Hapa bongo ugaidi maana yake ni kuipinga serikali
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom