Kwanini Zanzibar hakuna Stock Exchange?

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,907
2,000
Naona Wazanzibari wanalilia vitu vya ovyo ovyo ambavyo haviwezi kuwasaidia kama uanachama FIFA n.k

But sisikii Wazanzibari wakisema wanataka wawe na stock exchange ya kwao Zanzibar, why?

Stock exchange itawapatia mitaji wafanyabiashara na serikali itauza bonds na itawasaidia kupunguza umasikini sana.

Hata mitaji kutoka nje inaweza kuja kupitia stock exchange.

Wazanzibari hili la stock exchange ni rahisi zaidi since sio dhambi kuwepo na stock exchange zaidi ya moja.

Hata wakisema mambo ya fedha yako Muungano. Still hakuna ubaya Zanzibar ikiwa na soko lake la mitaji na hisa.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
9,674
2,000
Mimi nawashangaa tu ni kwa nini wamepunguza kasi ya kudai Uhuru kamili wa nchi yao? Au ndiyo wamenogewa na karanga za kuonjeshwa?

Maana kwa sasa wanafurahia kweli kugawana mapato ya Muungano, nk!! Badala ya kupigania Mamlaka kamili ya Nchi yao.
 
LGF

JF-Expert Member
Dec 6, 2020
450
250
Naona Wazanzibari wanalilia vitu vya ovyo ovyo ambavyo haviwezi kuwasaidia kama uanachama FIFA n.k

But sisikii Wazanzibari wakisema wanataka wawe na stock exchange ya kwao Zanzibar, why?

Stock exchange itawapatia mitaji wafanyabiashara na serikali itauza bonds na itawasaidia kupunguza umasikini sana.

Hata mitaji kutoka nje inaweza kuja kupitia stock exchange.

Wazanzibari hili la stock exchange ni rahisi zaidi since sio dhambi kuwepo na stock exchange zaidi ya moja.

Hata wakisema mambo ya fedha yako Muungano. Still hakuna ubaya Zanzibar ikiwa na soko lake la mitaji na hisa.
Stock Exchange ni jambo la muungano, ni sehemu ya benki kuu. UAMSHO wanataka lisiwa cha Latham kiende kwa sultani wananahitaji kuelimishwa na kina mbowe we are fed up up.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,166

Watu wenyewe hata milioni mbili hawafiki, stock exchange? Uchumi wao upo chini, pamoja na kelele zote wazenji ni masikini kuliko bara pamoja na kwamba wengi wenye uwezo wamechumia bara na arabuni. Wanahitaji msaada tu wa kufunguliwa akili wajue wanafaidika kuwa nasi.
 
Stock exchange sio lazima iwe locals only
Wanaweza invite foreigners Ku invest
 
Hata kama la Muungano wapi imeandikwa
Marufuku Zanzibar kuwa nayo?
Hata Mwanza wanaweza kuwa na stock exchange ingine sio lazima Dar only
 
The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
43,907
2,000
Watu wenyewe hata milioni mbili hawafiki, stock exchange? Uchumi wao upo chini, pamoja na kelele zote wazenji ni masikini kuliko bara pamoja na kwamba wengi wenye uwezo wamechumia bara na arabuni. Wanahitaji msaada tu wa kufunguliwa akili wajue wanafaidika kuwa nasi.

Singapore wako wangapi?Mbona matajiri kuliko Tanganyika??..akili matope hizo
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,916
2,000
Stock exchange ni soko ambamo makampuni yanapata nafasi ya kuuza hisa katika makampuni yao kwa wawekezaji. Aidha, wawekezaji wanaweza kubadilishana hisa za makampuni. Wingi wa watu haujalishi. Kinachotakiwa ni kuwa na makampuni ya kutosha yenye uwezo na nia ya kujiandikisha ili stock zake ziwe available kwa wawekezaji. Na stock hizo ziwe na mvuto ambao wawekezaji wengi watashindana kununua na kubadilishana. Kama Zanziba ina makampuni ya kutosha kama hayo basi Stock Exchange inawezekana. Ila kama haina itakuwa nayo ina suasua kama ya Dar es Salaam. Bila vibrant private sector stock exchange ni ya kupotezeana muda.

Amandla...
 
Stock exchange sio lazima iwe for locals only
Inaweza kuwa ya kukaribisha international investors pia
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,916
2,000
Stock Exchange ni jambo la muungano, ni sehemu ya benki kuu. UAMSHO wanataka lisiwa cha Latham kiende kwa sultani wananahitaji kuelimishwa na kina mbowe we are fed up up.
Serikali ina miliki asilimia 15 za hisa za DSE. Sio suala la Muungano na ndio maana imeitwa Dar es Salaam Stock Exchange, sio Tanzania Stock Exchange. Sio sehemu ya Benki Kuu ila inasimamiwa na BOT kama ilivyo kwa taasisi nyingine za fedha.

Amandla...
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,916
2,000
Stock exchange sio lazima iwe for locals only
Inaweza kuwa ya kukaribisha international investors pia
Investors watakuja kama kuna makampuni listed ambayo wanajua wakiwekeza watapata faida. Kama hamna hawaji. Cha muhimu ni kuwa na makampuni ya kutosha yanayoendeshwa kwa faida na uwazi. Na uhakika kuwa faida yake anaweza kuitoa bila mizengwe yeyote.Tofauti na hapo haji mtu.

Amandla...
 
Fundi Mchundo

JF-Expert Member
Nov 9, 2007
6,916
2,000
Yaani ni waziri wa fedha tu kutangaza ndani ya bunge lao then basi inakua imeisha hiyo
Sio rahisi hivyo. Bila makampuni ya biashara, hamna stock exchange. Makampuni yetu mengi ni madogo na ya kifamilia. Kwa sababu hiyo wengi wasingependa kuyaweka kwenye Stock Exchange kwa sababu mwenendo wake wote unatakiwa kuwa wazi.

Amandla...
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom