Mtatiro arejesha milioni 85 kwa Wananchi

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,628
1626702058307.png
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake ikafanya oparesheni za kuokoa fedha hizo.

Mtanzania
 
Waliporwa vipi?? Fafanua vizuri

Mikopo ina terms and condition ,mtu akiwa na shida hata ukimwambia nakupa 1m utanirudishia milioni 50 atakubali tu ila kimbembe kuanza kulipa hapo ndipo majanga yanapoanza! Kabla ya kukopa inatakiwa wajue terms and conditions zake na riba jinsi zitakvyokuwa na total amount mpaka deni linapoisha! Inabidi kwasasa wawe wanapewa mkeka wote wa makato kuanzia mwezi wa kwanza kurudisha hadi mwezi wa mwisho jinsi makato yatakavyoenda na kama ukikubali ndio upewe!
 
Waliporwa vipi?? Fafanua vizuri
Yaani..!! kwa namna taarifa ilivyoletwa, ni kama kutafuta kiki tu..!! Waliporwaje haisemwi, waporaji ni akina nani haisemi, waporaji wamefanywa nini haisemi, wameziokoaje haisemwi..!! Na wamejuaje huyu zake ni kiasi hiki na yule kiasi kile haisemwi..!!!
 
Mikopo ina terms and condition ,mtu akiwa na shida hata ukimwambia nakupa 1m utanirudishia milioni 50 atakubali tu ila kimbembe kuanza kulipa hapo ndipo majanga yanapoanza! Kabla ya kukopa inatakiwa wajue terms and conditions zake na riba jinsi zitakvyokuwa na total amount mpaka deni linapoisha! Inabidi kwasasa wawe wanapewa mkeka wote wa makato kuanzia mwezi wa kwanza kurudisha hadi mwezi wa mwisho jinsi makato yatakavyoenda na kama ukikubali ndio upewe!
Hizi ni biashara ila ubinadamu unapaswa kuwepo mkuu. Wahusika wanapaswa kudraft terms and conditions ambazo ni favourable kwa wakopaji pia. Wengi wanaopitia haya ni wastaafu wakati wanasubiri pensheni zao na wakulima wanaosubiri kuvuna mazao. Business should be a win win situation na sio umempa mtu kamilioni kamoja halafu baada ya miezi sita unataka milioni tano, this is unacceptable.
 
Mkuu wa Wilaya ya Tunduru Julius Mtatiro, amerejesha jumla ya Sh milioni 85,463,848 ambazo Wananchi mbalimbali waliporwa na watu au taasisi mbalimbali kinyume cha sheria, hivyo ofisi yake ikafanya oparesheni za kuokoa fedha hizo.

Mtanzania
How?

Mbona anayepokea anaonekana ndiye aliyepokonywa
 
Yaanin huyo mtatiro kama sabaya Tu anapora sana wafanyabiashara pesa ofsi yake ameifanya mahakama.
Kuna Raia amekufa kifo amesebabisha yeye alikuwa anadai madeni ya salpha kwa kushikirikiana na askari polisi wa Tunduru.
 
Hizi ni biashara ila ubinadamu unapaswa kuwepo mkuu. Wahusika wanapaswa kudraft terms and conditions ambazo ni favourable kwa wakopaji pia. Wengi wanaopitia haya ni wastaafu wakati wanasubiri pensheni zao na wakulima wanaosubiri kuvuna mazao. Business should be a win win situation na sio umempa mtu kamilioni kamoja halafu baada ya miezi sita unataka milioni tano, this is unacceptable.

Ndio maana kuna terms and condition ,kama haukubaliani nao unaacha kuchukua.
 
Terms and conditions zinapaswa kuwa aligned na sheria inayosimamia masuala ya fedha na mikopo, microfinance act. Kinyume na hapo uvunjaji wa sheria na ndo maana unaona hiyo taarifa hapo Mtatiro kufanikiwa kurudisha hizo pesa kwa victims.
 
Yaanin huyo mtatiro kama sabaya Tu anapora sana wafanyabiashara pesa ofsi yake ameifanya mahakama.
Kuna Raia amekufa kifo amesebabisha yeye alikuwa anadai madeni ya salpha kwa kushikirikiana na askari polisi wa Tunduru.
Wivu na husda vitakuua mazee chapa kazi watoto waende choo
 
BAYPORT na PLATNUM CREDIT hawajawahi kuguswa licha ya kutesa waalimu na manesi kwa miaka zaidi ya 10.
 
Yaanin huyo mtatiro kama sabaya Tu anapora sana wafanyabiashara pesa ofsi yake ameifanya mahakama.
Kuna Raia amekufa kifo amesebabisha yeye alikuwa anadai madeni ya salpha kwa kushikirikiana na askari polisi wa Tunduru.
Madeni ya Salphan ndio nini mkuu?
 
Back
Top Bottom