makoye2009
JF-Expert Member
- Jun 12, 2009
- 2,638
- 1,218
Kuna tetesi kuwa Magufuli na Kagame hawakukutana barabarani uhusiano wao inasemekana waweze kuwa ni udugu wa damu!
Kwa asili Magufuli Pombe Joseph ni mtu anayetoka Kanda ya Ziwa maeneo yanayopakana kabisa na nchi za Rwanda, Burundi na Uganda. Katika mikoa hii ya Kigoma, Kagera kuna mwingiliano wa makabila ya ya Wahaya, Waha, Warundi, Wanyarwanda, Waganda, Wasukuma,Wazinza na Wanyambo.
Mpaka JPM ameingia kwenye Urais bado kabila lake rasmi haliko wazi. Kuna watu wanasema Magufuli ni Msukuma, wengine waasema ni Mzinza, wengine wanasema ni Mhaya au mchanganyiko wa Kisukuma na Kizinza!!!
Lakini kwa kasi ambayo Magufuli ameionyesha ya kuwa karibu sana na Rais Paul Kagame wa Rwanda imeanza kuleta hofu. Kuna uwezekano mkubwa wa Magufuli kuwa na uhusiano wa karibu zaidi na wa kifamilia na Kagame. maana haingii akilini Rais huyu huyu Paul Kagame alikuwa na uadui na Rais mstahafu Kikwete kiasi cha kutishia amani ya nchi hizi mbili lakini leo imekuwa ni kinyume chake!! Kuna nini hapa?
Uwezekano wa Magufuli na Kagame kuwa na udugu uliotokana na mwuingiliano wa makabila ya mipaka ya Tanzania, Rwanda na Burundi ni mkubwa sana. Miaka ya nyuma kwenye 1960s na 1970s kulikuwa na wimbi kubwa sana la Warundi na Wanyarwanda waliokuwa wakija mikoa ya Mwanza, Kagera, Shinyanga kwa kazi za kilimo cha Pamba na kuchunga ng'ombe na pia katika mikoa ya Morogoro na Tanga kwa ajili ya Kilimo cha Mkonge na Miwa.
Mwingiliano huu ulifanya baadhi ya Warundi na Wasukuma kuoleana na hivo kuwa na damu mchanganyiko wa makabila haya. Nahitimisha kwa kusema kuwa yawezekana kabisa tukianza kufuatilia babu wa babu wa babu wa John Pombe yawezekana ametokea hukohuko......!!!