Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ina maana waliteuliwa bila kufanyiwa vetting?
4 Reactions
83 Replies
10K Views
Rais Samia Suluhu Hassan, akiwa na mwenyeji wake Rais wa Rwanda Paul Kagame, baada ya kumaliza ziara ya kutembelea kiwanda cha kisasa cha magari ya Volkswagen kilichopo Kigali Special Economic...
18 Reactions
169 Replies
17K Views
Rais Joe Biden wa Marekani amemtuma “Naibu Waziri” (Under secretary) anayeshughulikia masuala ya siasa, Victoria Nuland, kwenda nchi kadhaa za Afrika ikiwa ni pamoja na Tanzania, ambako atakutana...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (MNEC) na Mbunge wa Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amefunguka kuhusu makato ya miamala katika simu za mikononi ambapo amedai Bunge wao...
5 Reactions
50 Replies
6K Views
Wasaalam ndugu wana jamvi!! Nimefikiri kwa marefu na mapana bila kupata majibu ya baadhi ya maswali yahusuyo utawala wa Dr Jakaya Kikwete enzi za utawala wake. Ni miaka kadhaa imepita sasa toka...
16 Reactions
131 Replies
12K Views
Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe. Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite. Ametoa agizo hilo wakati wa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Awali ilianza kama tetesi hapa JF, soma Rais Samia kufanya safari nchini Rwanda mapema Agosti UPDATE: July 31, 2021 Tanzanian President Samia Suhulu will on Monday arrive in Kigali for her first...
8 Reactions
211 Replies
19K Views
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao. Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani...
20 Reactions
45 Replies
4K Views
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM. Mipango yenu yote tunayao...
7 Reactions
29 Replies
4K Views
Najua ukweli wangu huwa unawachukiza. Lakini fitina kwangu mwiko nitasema kweli daima. Chama chetu ni mali ya watu binafsi. Ni mali ya watu ambao wakiwa hawapo kila kitu kinakwama. Sasa Chairman...
1 Reactions
60 Replies
3K Views
ALIYOYAZUNGUMZA KATIBU MKUU WA UVCCM NDUGU KENANI KIHONGOSI AKIONGEA NA WANAHABARI AGOSTI 03, 2021. Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndugu Kenani Kihongosi alianza kwa...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Waziri TAMISEMI, Ummy Mwalimu ametolea ufafanuzi kuhusu video inayosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha wanafunzi wa madarasa tofauti wakitumia chumba kimoja cha darasa huku walimu...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Taarifa kutoka Bukoba mjini zinasema kuwa Jeshi la Polisi mkoani Kagera limewakamata viongozi wa CHADEMA na makada wa chama hicho waliokuwa wanafanya kikao cha kawaida katika ofisi za CHADEMA...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
Kuna "misconceptions" nyingi kuhusu chanjo ya Covid19. Baadhi za kitabibu na nyingine za elimu ya tabia. Zile za kitabibu nawaachia madaktari na wataalamu wa afya wazijibie. Mimi najibu hizi...
12 Reactions
43 Replies
4K Views
Kama kweli chama makini lazima kiwe na watu makini basi Chadema ni chama mfu. Hakina watu makini kimejaza wapiga kelele wasiojitambua. Mwenyekiti wao amepata tuhuma, tena tuhuma nzito. Wao kama...
4 Reactions
11 Replies
1K Views
Nani kama mama? Ukikutana na watu 10, basi 7 Kati yao watakuambia wanampenda sana mama kuliko baba. Mama Samia kweli amedhmairia kuifikisha Tanzania kwenye nchi ya asali na maziwa, niseme wazi...
21 Reactions
115 Replies
17K Views
Ni muda sasa mkeka wa Ma-DED unasubiriwa ili mambo yaende huku Wilayani na kwenye Halmashauri. Kila kitu almost kimesimama. Wengi wao hawana uhakika, hivyo hawashindi vituoni bali wanaenda Dodoma...
5 Reactions
46 Replies
6K Views
Nachokoza mada tu leo, Mimi ni mdau katika elimu yetu ya juu ya vyuo vikuu vya Dar es salaam, hasa katika kuandaa madaktari na waambata wao. Hali ilivyo sasa inatia shaka sana katika utoshelevu...
60 Reactions
256 Replies
38K Views
Leo kupitia page ya kurugenzi na mawasiliano Ikulu nimeona statement ya uteuzi wa wabarozi 23 uliofanywa na Mh Rais Samia, lakini sijaelewa mpaka sasa kuwa katika wote 23 hawajapingiwa vituo vya...
2 Reactions
52 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…