Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe.
Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya kuwatisha waogope kurudi Tanzania.
Spika wa bunge na waziri mkuu ndiyo vinara wa hili. Waziri mkuu ndiye mwamini mkubwa wa mabavu lakini anajificha nyumba sio mzuri kama watu wanavyofikiri.
Waziri mkuu alishawahi kukiri kwamba Sabaya anafuata maagizo yake ya vile visa vyote na yeye ndiye alikuwa mlinzi mkubwa. Spika anaogopa kusumbuliwa na Lissu na hampendi Mbowe kabisa.
Hawa wawili ndiyo wanaotaka kuteka uendeshaji wa serikali kwa sasa na Rais Samia awe makini sana. Huu ndiyo wakati mzuri wa IGP mpya ambaye hatawaaukiliza hawa