Onyo: CCM msijaribu kufanya vurugu Agosti 5, 2021

Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,113
2,000
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM.

Mipango yenu yote tunayao, tunajua vijana mnaowatuma na pesa mnazowapa ili wafanye vurugu then mpate ajenda yenu.

I warn you, kwa upole kabisa, itawatokea puani. Tuna kila technology ya kurekodi hayo matukio na at the right time tutawashughulikia ipasavyo.

Endeleeni kudanganywa na hao Wapuuzi wenzenu.
 
sweettablet

JF-Expert Member
Nov 16, 2014
7,450
2,000
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM...
Ahahahahaha! Mshaanza kujiogopesha wenyewe!
 
mkaruka ataja rinu

JF-Expert Member
Aug 27, 2016
2,541
2,000
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM.
Wewe utakuwa hujatoka period, unamshughulikia nani na kwa uwezo upi ulionao wa kushughulikia watu?
 
4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Dec 8, 2019
2,760
2,000
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM.
Upo sahii Sana maana wameanza Siasa mfu Mara wavae tisheti za katiba mpya WAKATI wanapinga katiba mpya,

Tarehe tano nikutembea na viboko, ukikuta kikundi kinafanya furugu hao watakua ni CCM, tusiulize ni kuwachalaza fimbo kisawasawa, police msiingilie shoo tafadhali, tarehe tano tutawasaidia kuwatuliza wahuni kutoka CCM, ni mwendo wa matembezi, ya amani.
 
Elli M

JF-Expert Member
Mar 17, 2008
43,113
2,000
Unajua ukubwa wa kike unachokitamka?

Kwa mawazo yako kama uko sawa, vipi upande wa pili nao wakiwa na mawazo hayohayo?
Upinzani wengi wameshakua hicho anachosema, hata hivyo siungi mkono ghasia
 
Ulongupanjala

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
4,190
2,000
Nawakumbusha kwa upole sana, CCM na wengine, tunazo taarifa zenu kuwa mnataka kupandikiza vijana wa UVCCM mkijifanya ni CHADEMA siku ya kesi ya kishenzi mliyompa FM...
Tukiwakamata hao vijana tutawainamisha tu bila kuvua nguo.!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom