Tukubali ukweli, CHADEMA tumemkosea Rais Samia

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Sep 13, 2020
3,166
4,581
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na CCM yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili walau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutumia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna.

This is shamefulness.
 
Mnasema ndicho mlicho kikusudia, kuwa aonyeshe rangi yake mapema ili nanyi muanze kideal nae mapema, kuliko kujifariji na kupoteza muda.
Angeweza kuja kuwasurprise siku za mwisho, anawachenjia na muda wa kudeal nae unakuwa umeisha/mchache.
 
Kamanda mchovu yaonekana bado unausingizi, endelea kupumzika Hadi usingizi uishe kabisa.
 
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna. This is shamefulness.
Kwani wamekiuka sheria ipi maana katazo ni Sheria ya magufuli na sio ya nchi inaruhusu mikutano
 
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna. This is shamefulness.
Chadema kamateni hapo hapo. Pameanza kuuma. Kaza spana Chadema, kaaazaaa!
 
Ameingia madarakani tukiwa na hali mbaya sana. Maana tulikuwa tumevunjiliwa mbali na Ccm yao.

Tukapewa ruhusa ili tufanye mikutano ya kidigital ili alau hata kidogo kuwe na nguvu ya upinzani. Badala yake ni kutulia nafasi hii vibaya. Kumletea dharau na kumtishia.

Sasa ameonyesha ukuu wa mamlaka ya urais kila kamanda amenuna. This is shamefulness.
Wewe kweli kweli mikutano sio isani ni takwa la katiba
 
Back
Top Bottom