Askofu Gwajima: Mama Samia ni mtu mzuri sana, alinifungulia ofisi ya CCM niliyojenga Mbweni. Nitawashughulikia mbweha wanaomuhujumu!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,779
141,666
Askofu Gwajima amesema alipojenga ofisi ya CCM kata ya Mbweni ambayo kimsingi ni jengo kubwa kuliko lile la CCM wilaya ya Kinondoni, mama Samia akiwa makamu wa Rais ndiye alikuja kumfungulia rasmi jengo hilo.

Askofu Gwajima amesema mama Samia ni mtu mzuri sana na ameapa kuwashughulikia mbwea wote waliomzunguka mh Rais.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Kwa hiyo Mama Samia kazungukwa na mbweha....!!
 
Gwajiboy kacheza na upepo, CCM si ya kuchezea, inakutoa kwenye reli muda wowote, Sheikh Abubakar Mwamba analitambua hilo
 
Mchezo mdogo sana tiss wamemwita kumpa masharti yao....kwa nini unamzuia rais asifanye kazi? Wewe hustahili kuwa mbunge na kanisa lako tunalifuta.....wewe mbubge uwe no1 kusifia mwenyekiti wako....sasa tor hii hapa ukatengue ulichooongea ....badili msimamo wako kijinga na kanisa na waumini....haraka sana pia uwnde ukachanjwe hata kama ni maji .....nedia zote ziwepo....
 
Back
Top Bottom