Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Magufuli leo akiwa na mgeni wake, Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera wanaweka jiwe la msingi kituo kikuu cha mabasi ya mikoani inayoendelea kujengwa eneo la Mbezi Louis, Dar es Salaam. ===...
4 Reactions
52 Replies
11K Views
Wanabodi, Huu ni uzi wa swali tuu, Rais Anapoteua Mawaziri wenye uwezo mdogo, Ukisema Waziri Fulani ana uwezo mdogo , Jee ni Kumwingilia Rais Katika Uteuzi?. Tanzania ni nchi yetu sote, watu...
11 Reactions
81 Replies
9K Views
Kwa ufupi; Mwenyekiti wa Baraza la Vyama vya Siasa nchini, Juma Ali Khatib amevitaka vyama vya siasa kuacha kutoa mashinikizo kwa Rais Samia ikiwemo madai ya katiba mpya na kutishia kufanya...
2 Reactions
27 Replies
3K Views
Rais Hussein Mwinyi amewateua Haji Omar Haji na Mzee Ibrahim Mzee kuwa Majaji wa Mahakama Kuu ya Zanzibar. Uteuzi wao umeanza Februari 01, 2021 Amefanya uteuzi huo chini ya Kifungu Namba 94(2)...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hata wanannchi wa kawaida wasio na elimu ya kutosha wanajua CCM imejitahidi kwa kadri ya uwezo wake kuwaketea wananchi maendeleo, amani na mshikamano. Sasa mnataka ionekane imekwama kuleta amani...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi. Rais...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Sisemi kwamba uliokuwepo ulikuwa si mzuri la hasha nao ulikuwa imara na Marais wa Tanzania hawajawahi kuwa na Ulinzi dhaifu kutoka PSU isipokuwa Mimi kama GENTAMYCINE huwa napenda mno kuona kukiwa...
17 Reactions
89 Replies
10K Views
Katika muendelezo wa kesi ya unyang'anyi wa kutumia silaha inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wawili, Shahidi wa nane wa Jamhuri dhidi ya Sabaya ameieleza...
3 Reactions
44 Replies
6K Views
Dar/ Unguja. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Othman Masoud amepasua jibu la uchaguzi wa marudio wa Konde na sababu zilizomfanya mgombea wa CCM kujiuzulu ubunge baada ya kutangazwa mshindi...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Baada ya kusikiliza interview ya Rais Samia Suluhu na Salimu Kikeke, nimegundua mambo matatu kwenye uongozi wa Samia Suluhu, aidha Rais hayuko well informed au anadanganywa/potoshwa au uwezo wake...
67 Reactions
171 Replies
15K Views
Kigogo wa Serikali ya Marekani aliyeingia nchini na kukutana na Mama Samia, ameonana vile vile na wapinzani. Under Secretary of State Victoria Nuland wa Marekani, kigogo wa ngazi za juu wizara...
7 Reactions
34 Replies
4K Views
[A.] Mahojiano ya BBC na Rais wa Tanzania, Bi. Samia Suluhu Hassan yanatafakarisha sana... Mimi sifanyi tathmini ya aidha amejibu maswali vibaya au vizuri. Ninchotaka kusema ni kuwa, yamefunua...
5 Reactions
23 Replies
3K Views
Jeshi la Polisi mkoani Geita linawashikilia viongozi watatu wa kamati ya jumuiya ya maji inayosimamia mradi wa maji wa Mharamba uliopo wilayani Geita, kwa tuhuma za ubadhilifu wa fedha...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Kiungwana kabisa nawashauri na kuwaombeni kuanzia sasa wana CHADEMA wote wekezeni mno katika Kuzisoma Nyendo za Viongozi wenu Waandamizi ili msije mkawa ama mnadanganywa au mnatumika kama Mitaji...
20 Reactions
70 Replies
5K Views
Mapendekezo yetu siku zote sisi wananchi, Azaki, activists na vyama yapo wazi kabisa sio kuongeza Magereza kila wilaya hapana. Nakumbuka hata wewe Jaji Mkuu umekuwa ukiyapigilia msumari...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na...
15 Reactions
229 Replies
15K Views
Mkuu wa wilaya ya Temeke Mh. Jokate akisimamia zoezi la kuhakikisha watumiaji wa Vyombo vya usafiri wa umma wanavaa Barakoa ili kujikinga na ugonjwa wa UVIKO 19. Pamoja na utekelezaji wa...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
Nimetafakari sana juu ya watanzania waliotoa maoni ya ya kuundwa katiba mpya mwaka 2012 na ushirikishwaji wa makundi yote ya kijamii. Kuanzia mwaka 2015 kuna ongezeko kubwa la wasomi na vijana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mheshimiwa waziri ukiwa pale Luponde Mkoani Njombe, wakati ukitokea Ludewa watu walikusimamisha na kukueleza adha wanayopitia kutokana na barabara kuwa mbovu na wewe uliuona uhalisia na ukaahidi...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nikiwa kama Daktari nashauri Serikali itangaze Rasmi Wananchi wachukue hatua za kujikinga na huu ugonjwa ambao tayari ushaua watu milioni 3 duniani. Jamani sina uhakika kama huu ugonjwa upo kwetu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…