#COVID19 Corona: Bila Makavu itaondoka na Wengi

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,854
35,861
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika.

Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga.

Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa:

IMG_20210803_043840_541.jpg

Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo tahadhari zozote.

Haya yakiendelea serikali na wizara ya afya wakiwa ni wapenzi watazamaji.

Bila ya kuwachukulia hatua kali wote waliozembea hata katika hili, kwa hakika hatutoboi.

Source: Babu wa Loliondo kuzikwa Samunge Jumatano
 
Mi ni mnyakyusa lakini nathubutu kusema msiwaamini manabii wa kinyakyusa ni wapigaji tu...sijui kinamwamposa,mzee wa upako,mwasapile loliondo.MSITHUBUTU la sivyo you are all dead
Vipi Mbarikiwa Mwakipesile?

Vipi Mwakasege?

Ila humu Wanyaki mpo wengi sana aisee
 
Don’t promote corona virus here

Wanatengeneza ma ugonjwa yao alafu wana kuja na chanjo zao kutubembeleza ili tununuwe chanjo zao ?
Kuna kitu wanacho kitaka awa wapumbavu

Ivi Africa kabisa kwanini atujiulizi kipindi Madagascar walitengeneza Dawa ya corona who waka ikataha kuwa sio nzuri
Leo iyi wanatuletea vichanjo vyao eti tuchanjwe uo ni ujinga afrika akuna kinacho shindikana tuachane nao awa
 
Il 'dawa' ya Madagascar Mwendazake alimtuma jamaa wa jalalani akailete ilikuwa dawa kweli? Ulitaka WHO waache sayansi waingie kwenye syrup za kichawi!
 
Mi ni mnyakyusa lakini nathubutu kusema msiwaamini manabii wa kinyakyusa ni wapigaji tu...sijui kinamwamposa,mzee wa upako,mwasapile loliondo.MSITHUBUTU la sivyo you are all dead
mwamposa mzee wa keki ya upako
 
Don’t promote corona virus here

Wanatengeneza ma ugonjwa yao alafu wana kuja na chanjo zao kutubembeleza ili tununuwe chanjo zao ?
Kuna kitu wanacho kitaka awa wapumbavu

Ivi Africa kabisa kwanini atujiulizi kipindi Madagascar walitengeneza Dawa ya corona who waka ikataha kuwa sio nzuri
Leo iyi wanatuletea vichanjo vyao eti tuchanjwe uo ni ujinga afrika akuna kinacho shindikana tuachane nao awa

If your eyes are seeing promotion in this, consider to pay your ophthalmologist a visit the soonest.
 
Tungefanya hivi hata kwa magonjwa mengine tungeepusha maradhi mengi pamoja na vifo, mfano mdogo tu hivi kitu kama sigara ina faida gani? ina tunajua ina madhara makubwa sana ila ndio tunaacha watu waendelee kuharibu afya za watu kwenye jamii huku tukiwaandikia kuwa sigara ni hatari kwa afya zao.
 
Hasa hasa Ukimwi

Sent from my SM-G9350 using JamiiForums mobile app
 
Mitaani misiba imekuwa mingi sana. Kwingine habari za mochwari kufurika zinasikika.

Maprofesa na hata vigogo ni baina ya wahanga.

Moja ya vipimo vya uhalisia wetu kuhusiana na huu ugonjwa ni hiki hapa:

View attachment 1878044

Babu Loliondo aliachwa kukusanya wagonjwa wa Corona nyumbani kwake pasipo na kuwepo tahadhari zozote.

Haya yakiendelea serikali na wizara ya afya wakiwa ni wapenzi watazamaji.

Bila ya kuwachukulia hatua kali wote waliozembea hata katika hili, kwa hakika hatutoboi.

Source: Babu wa Loliondo kuzikwa Samunge Jumatano
Umesema vyema sana Kiongozi. Sasa tunarudi kwenye hoja, kwamba, kwa kuwa chanjo haitibu maambukizi, na wala hahizuii maambukizi, na kama viongozi wetu wanakuwa wapenddwa watazamaji, tuchukue hatua sisi za kujilinda. Tuzingatie kanuni zote za Afya kama tulivyovanya kwa awamu zlizopita. Kuna dawa zetu zilitumika kutibu wagonjwa waliokuwa wanalazwa na pamoja na kwamba kweli tulipoteza ndugu na wapenzi wetu, lakini tulifanya vizuri kulinganisha na jirani zetu katika ukanda wetu.

Najua ni vigumu kumlazimisha abiria mwenzako avae barakoa ama afunike uso anapokohoa ama kupiga chafya. Ni vigumu abiria kudhibiti ujazaji abiria uliokithiri ikiwa hata vyombo vya serikali vinajaza lumbesa mfano mwendo kasi na pantoni, mbio za mwenge n.k. Trafic wako kila kona lakin hakuna hata anayesimamisha gari na kudhibiti lumbesa za abiria.

Hii , ki kwetu inaitwa "YATIMA HADEKI", na kwa kule unguja inaitwa "UTAJIJU",
Tuiombe serikali, japokuwa nasikia saauti inasema "kila mtu abebe mzigo wake", tuome isaidie kupeleka dawa zetu zilzotuvusha katika vipindi vilivyopita.

Ninakumbuka Rasi alitangaza tuombe Mungu kwa siku tatu. Kweli tuliomba na ilipatikana dawa ambayo inasemekana kutibu vizuri zaidi Delta Variant ambayo inasambaa kwa kasi kuliko zilzopita. Hiyo dawa itengenezwe kwa wingi na ipelekwe kila sehemu angalua kila raia apate. Hii inaonekana ni budget kubwa lakini si kitu ukilinganisha na hasara tunayoipta kwa kupoteza hazina zilizo ndani ya watu, gharama za machanjo n.k. Ni kiasi cha kuahirisha mbio za mwenge na kujikita kwenye kuzalisha na kusambaza dawa hizo wakati biashara ya Johnson ikiendelea.

Watu wanahitaji tiba kwanza kabla ya chanjo. Tiba iliyotusaidia, sasa hivi ukiizungumzia unakula ban. Kipaumbele ni chanjo ambayo hata haizuii maambukizi wala haitibu.

Kama serikali imetutelekeza hivyo, tupashane habari sisi wenyewe na kusaidiana namna ya kupeleka tib hata kwa wazee walioko vijijini.

Mungu aliyetusaidia, hata sasa atatusaidia. Tumtangulizeni yeye, na kisha tuungane bila ushaibiki wa kisiasa ama kibiashara. Kwa sasa tunahitaji tiba.
 
Il 'dawa' ya Madagascar Mwendazake alimtuma jamaa wa jalalani akailete ilikuwa dawa kweli? Ulitaka WHO waache sayansi waingie kwenye syrup za kichawi!
Sayansi ipi inayotibu Corona? Imewasaidia nini katika maambukizi? Brainwashed!.
 
Don’t promote corona virus here

Wanatengeneza ma ugonjwa yao alafu wana kuja na chanjo zao kutubembeleza ili tununuwe chanjo zao ?
Kuna kitu wanacho kitaka awa wapumbavu

Ivi Africa kabisa kwanini atujiulizi kipindi Madagascar walitengeneza Dawa ya corona who waka ikataha kuwa sio nzuri
Leo iyi wanatuletea vichanjo vyao eti tuchanjwe uo ni ujinga afrika akuna kinacho shindikana tuachane nao awa
Unajiita Pumbavu!

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
 
Kumbe alikuwa anaendelea kutoa kikombe?

Aliendelea kutoa kikombe na serikali ikiendelea.

Hao waliokuwa wakiangalia wangalipo madarakani na wakituhamasisha dhidi ya ugonjwa huu.

Tutakuwa tumerogwa.
 
Tungefanya hivi hata kwa magonjwa mengine tungeepusha maradhi mengi pamoja na vifo, mfano mdogo tu hivi kitu kama sigara ina faida gani? ina tunajua ina madhara makubwa sana ila ndio tunaacha watu waendelee kuharibu afya za watu kwenye jamii huku tukiwaandikia kuwa sigara ni hatari kwa afya zao.
Msisitizo wa corona unatoka ulaya. Haya magonjwa mengine tufanye wenyewe. Sigara ni starehe huwezi kataza watu,, unawapa tahadhari inatosha.

Back
Top Bottom