CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
4,273
2,000
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.

Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.

My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
 
zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
4,062
2,000
Chadema wanajua sana wanacho kifanya.

ila hawa jamaa nia yao ni kuichafua Tanzania kwa mataifa mengine kwa kisingizio cha demokrasia lkn nia yao ni kuvunja amani, wanatumiwa na maadui kuivuruga Tz, wanajua wanacho kifanya, hawana tofauti na WASALITI/VIBARAKA.

Kama Taifa imara viongozi wetu wanapaswa wawe makini kamwe wasiachie hawa wahuni wachache kuharibu taswira ya Taifa letu.
 
Paf

JF-Expert Member
May 25, 2021
1,714

I

Chadema hawana mamlaka kumkaribisha huyo mmarekani.Hivyo ujumbe wako anayetakiwa kutambua aliyeona umuhimu wa huyo mgeni kuingia nchini nakupewa kibali kukaa na wapinzani.
Hoja kwa hoja=Mafanikio
Nguvu kwa hoja=Umasikini
 
Vessel

JF-Expert Member
Aug 29, 2018
5,579

Ungeza sauti ndugu mbambikaji hujasikika
 
Iodine

Member
Jan 15, 2019
22
45
Chadema wanajua sana wanacho kifanya.
ila hawa jamaa nia yao ni kuichafua Tanzania kwa mataifa mengine kwa kisingizio cha demokrasia lkn nia yao ni kuvunja amani, wanatumiwa na maadui kuivuruga Tz, wanajua wanacho kifanya, hawana tofauti na WASALITI/VIBARAKA.
Kama Taifa imara viongozi wetu wanapaswa wawe makini kamwe wasiachie hawa wahuni wachache kuharibu taswira ya Taifa letu.
ila huu ndio ujinga wa watanzania wachache,kwan aliyemkaribisha huyo mgeni ktoka USA na kumpa nafasi ya kuongea na hao wapinzani n nani?
 
Kijogoodi

JF-Expert Member
Mar 29, 2021
692
1,000
Magaidi yana umoja mno .

Anayeangushwa na konyagi alafu akasingizia amepigwa na wasiojulikana ni gaidi tu.
 
MENGELENI KWETU

JF-Expert Member
Oct 23, 2013
9,464
2,000
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.

Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.

My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
Pumbavu sana wee Mama..
Sehemu inapokaa ubongo kwenye kichwa chako kumejaa kinyesi.
 
Aladeen04

JF-Expert Member
Sep 6, 2016
3,384
2,000
Screenshot_2021-08-05-11-16-08-87.png
 
Sexer

JF-Expert Member
Oct 22, 2014
7,004
2,000
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.

Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.

My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
Tangu lini mke wa mtu akawa huru, au anayekula za vya watu akawa huru!
Mfano mdogo, unajua hizo chanjo mlizozindua kwa mbwembwe zimetoka wapi? au mmezinunua shingapi?
 
FUSO

JF-Expert Member
Nov 19, 2010
24,822
2,000
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.

Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.

My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
Mkuu waulize CCM kwa nini wamewaruhusu hawa mabeberu kuingia hadi Ikulu yetu jana. Hii ni nchi huru.
 
malang0

JF-Expert Member
Apr 7, 2021
442
1,000
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.

Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.

My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
Uhuru ni kujitegemea siyo kuwa ombaomba
 
Ryaro ryaro

JF-Expert Member
Feb 10, 2021
336
1,000
CHADEMA na MAREKANI wapi na wapi. Mfupi wa thinking Kama Mavi ya asubuhi. Cheza na Marekani Ndio Utajua Baba lao ni Nani. Baba wa Democracy Mfadhili Mkuu wa dawa za Watanzania za Kufubaza Virusi Vya Ukimwi, Corona, Degedege, Pepopunda, tetekuwanga na hata Vyandarua vya Kuzuia Mbu wasituambukize maralia. Soma na fuatilia Mahusiano, Marekani Usicheze nao Bro... Marekani ni Kiboko ya Wauni wa Kisiasa...Marekani alimpiga Ban Mh. Bashite, JPM ikabidi Umwondoe Maana alikuwa anaichafua Nchi ya JPM.
 
Jul 9, 2021
13
45
I

Chadema hawana mamlaka kumkaribisha huyo mmarekani.Hivyo ujumbe wako anayetakiwa kutambua aliyeona umuhimu wa huyo mgeni kuingia nchini nakupewa kibali kukaa na wapinzani.
Hoja kwa hoja=Mafanikio
Nguvu kwa hoja=Umasikini
Hakika serikali ilikuwa na mandate ya kumzuia kuingia nchini au kuzuia mkutano na hao asiowapenda cdm
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,551
2,000
Chadema wanajua sana wanacho kifanya.
ila hawa jamaa nia yao ni kuichafua Tanzania kwa mataifa mengine kwa kisingizio cha demokrasia lkn nia yao ni kuvunja amani, wanatumiwa na maadui kuivuruga Tz, wanajua wanacho kifanya, hawana tofauti na WASALITI/VIBARAKA.
Kama Taifa imara viongozi wetu wanapaswa wawe makini kamwe wasiachie hawa wahuni wachache kuharibu taswira ya Taifa letu.
WANAOSABABISHA Chadema Wafanye Hivyo ni Waliopo Madarakani kwani Utadhani Wao Tanzania Ndio Yao Hii Nchi ni Ya WOTE hakuna Mwenye HATI MILKI
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
13,231
2,000
Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe.

Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola huru. Ambalo linamalaka kamili ya utawala. Kama kuna mwanasiasa au raia atafanya makosa basi atakuwa arrested and arraigned in court.

My take: Someni ibara ya 1 ya katiba ya JMT.
Kawaulize Gaddafi & Sadam kule kaburini wakupe stori za Wamarekani ndugu!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom