Duniani leo nchi za kijamaa (communism) zimebaki chache sana. Imebaki China, Vietnam, Cuba, Tanzania na zingine mbili tatu. Mtu anayesema Tanzania siyo nchi ya kijamaa anakuwa anakosea sana. CCM...
JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa chama cha upinzani cha NCCR-Mageuzi, ametoa ushauri kwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa kujiuzulu ili kumfanya Rais wa nchi hiyo, Samia Suluhu Hassan kuunda...
Habari ya kazi! Pole na majukumu.Mi nina dukuduku ambalo linasumbua watu wengi hasa watu wanaohitaji huduma hasa mafao Ya Uzazi.
Tatizo lililopo ofisini kwako hapo ni kwamba kumekuwa na usumbufu...
Mhe. Rais, nakushukuru na kukupongeza kwa kutekeleza ahadi uliyotoa ukiwa ziarani mkoani Mwanza juu ya kuteua vijana tu kwenye nafasi ya U-Dc.
Mhe. Rais kwa hakika umedhamiria kwa dhati ya moyo...
Mkurugenzi wa elimu kwa umma wizara ya afya Dr Kasangala amesema kwa sasa mkazo umewekwa kwenye kuchanja ili kwenda na muda then watu wote waliochanjwa watapatiwa vyeti vyao kwa utaratibu...
WAZIRI AWATAKA WALIMU WAKUU NA WALIMU WA TEHAMA KUTOZIFUNGIA KOMPYUTA KWENYE MAKABATI.
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) Mhe, Rahma Kassim Ali...
Shahidi wa nane, Magdalene Mallya au Zulfa (32)Mkazi wa Sombetini jijini Arusha ameieleza mahakama jinsi alivyonusurika kuuawa Kwa kupigwa risasi na aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai ole...
Serikali fulani barani Afrika sasa inaonyesha sifa karibu zote za iliyokuwa serikali ya Makaburu huko Africa Kusini na ina viashiria vyote vya kuanguka kama ambavyo utawala wa Makaburu...
Mimi ni mtu wa kawaida na ni Mtanzania. Kesi ya Mbowe ndiyo sasa imechukua nafasi kubwa katika mijadala baina ya wanannchi, kwenye mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vya ndani na nje...
Chama kikubwa kama Chadema viongozi wake kuhusishwa na ugaidi ni suala linalotia fedheha kubwa.
Huko nyuma tulikubalika kama chama cha ukombozi. Turejeee miaka ya 2010 kurudi nyuma tulikubalika...
Habarini ndug,
Siku za hivi karibuni tumeshuhudia ziara nyingi nje ya nchi, za rais samia. Ni ziara nzuri kwa kua zinaimarisha ushirikiano. Lkn kinachonishangaza ni kwamba, naona anazidi kupotea...
Wanafunzi 400 wanakaa chini, wanatumia chumba kimoja cha darasa
WEDNESDAY AUGUST 04 2021
Summary
Wanafunzi zaidi ya 400 wa darasa la nne na tano wanakaa chini na kutumia chumba kimoja cha...
Binamu Bananga ni Diwani wa zamani wa Sombetini Arusha kupitia CHADEMA.
1. Viongozi wa Kanda ya Pwani wameshindwa kushawishi Wanachama kujitokeza kwa wingi Mahakamani, ushawishi wa mitandaoni...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani leo Ijumaa Agosti 06, ,2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Mtendaji Mkuu wa Mfuko wa Kimataifa la Kupambana na Ukimwi...
Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi...
2017 Ilibaki kidogo tuwe sawa na wazungu, kumbe Hayati Rais wangu aliposema sisi ni donor country alikuwa ana maanisha.
Hivi kweli inakuja akilini kuomba misaada kutoka vinchi vidogo km Belgium...
Habari waungwana!
Kwa mujibu wa katiba yetu Tanzania ni nchi ya kijamaa. Ukisoma sura ya kwanza utaliona hili.
Ila misingi ya ujamaa ni kuwa mbali na rushwa, ufisadi na wizi wa mali za umma jambo...
Hata tufanyeje lazima tufanane na wazungu kwenye siasa za vyama vingi. Aina hii ya siasa ililetwa kwetu na wazungu kwakuwa wana kazi nayo, lakini vyama na wanasiasa waliopigania uhuru waliikubali...
Niliwahi kuandika na leo narudia ili angalau tutafakari kwa makini na ikiwezekana tuwasaidie Polisi na pia wanasiasa wa upinzani.Kila anayekamatwa jambo la kwanza ni kuchukuliwa compuetr na simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.