#COVID19 “Wazungu” wanavyoiona Tanzania baada ya kukubali chanjo za Corona

MsemajiUkweli

JF-Expert Member
Jul 5, 2012
13,171
23,975
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 65,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,600 ndani ya masaa 24

Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji kwenye video ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu hii ni Youtube channel inayohusu habari/masuala ya Ulaya na Marekani.

Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji kwenye video usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19.

''Wazungu'' wanashangaa sana kinachoendelea nchini!

Mungu Ibariki Tanzania!

VIDEO
 
Ninachoona Tanzania inakataa chanjo kitaalamu sana kwa tahadhari
1. Mzigo umekubaliwa kuingia nchini
2. Kupata chanjo ni hiari (ni wewe na akili yako)
3. Kuna mtu (Gwajima) mwenye watu yupo mstari wa mbele kuipinga chanjo (ku manipulate akili za watanzania ili na wao wawaze na kufikiri mbali kuhusu chanjo)
Yule sidhani kama anaongea akiwa hana ufahamu, na wakubwa zake wasimkataze
 
Hii ni video ya dakika moja lakini mpaka sasa imetazamwa na watu zaidi ya 60,000 na kuchangiwa na watu zaidi ya 1,500 ndani ya masaa 24

Kilichovuta hisia yangu ni maoni ya wachangiaji ambao wengi wao ni watu kutoka Marekani na Ulaya kwa sababu ni Youtube channel inayohusu Europe and USA affairs.

Kama bando lako la intaneti halitoshi huhitaji kuangalia video, fungua maoni ya wachangiaji usome na hii itakuonyesha mtazamo wa “wazungu” kuhusu Tanzania kwenye suala la UVIKO-19

Mungu Ibariki Tanzania!

VIDEO
Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani we miss you dad
 
Nesi hajasukuma dawa.
 
huyu nesi anashikaje syringe kishamba vile mbona haja press dawa na kidole gumba
 
Ninachoona Tanzania inakataa chanjo kitaalamu sana kwa tahadhari
1. Mzigo umekubaliwa kuingia nchini
2. Kupata chanjo ni hiari (ni wewe na akili yako)
3. Kuna mtu (Gwajima) mwenye watu yupo mstari wa mbele kuipinga chanjo (ku manipulate akili za watanzania ili na wao wawaze na kufikiri mbali kuhusu chanjo)
Yule sidhani kama anaongea akiwa hana ufahamu, na wakubwa zake wasimkataze
Hizi chanjo zinaleta mjadala ambao ukichunguza utagundua ambao wanakubaliana nazo wanatumia nguvu nyingi na hoja za nguvu kuwalazimisha wasiokubaliana nazo au wenye wasiwasi nazo.
 
Comments za watu hizi zinatupa nguvu sana kwa sisi tusiotaka kuchanja. Pumzika kwa amani Rais MagufuliJP. Ulihujumiwa baba. Pumzika kwa amani we miss you dad
Ukizisoma comments za watu wenye hiyo video zingine zinatoa tafakuri la kina kirefu!

Yaani baadhi ya watu wameishajua na kuhitimisha kilichomuondoa Rais Magufuli hapa duniani!
 
Mara ya kwanza kusikia JPM ametutoka kuna vitu viwili viliingia kichwani kimoja ni haiwezekani Rais wa nchi kufa kirahisi namna hii hata Watanzania hatukuwahi kuambiwa kuwa ni mgonjwa au lah ila Mungu ni Mwema kama kuna uhuni ulifanyika bhasi Mungu atalipa hapa hapa Duniani 😢😢😢😢😢😢

Kama siku ikitokea napewa nafasi ya kumuuliza swali Samia au Kassim swali langu ningeuliza why walitudanganya watanzania kuwa kiongozi wetu yupo na anapiga kazi wkt wanajua si kweli?
 
Hizi chanjo zinaleta mjadala ambao ukichunguza utagundua ambao wanakubaliana nazo wanatumia nguvu nyingi na hoja za nguvu kuwalazimisha wasiokubaliana nazo au wenye wasiwasi nazo.

Nguvu zinatumika kwenye mambo mengi, labda kama unashangaa kwenye hili maana ww ni mfaidika wa nguvu nyingi na akili kidogo, ila this time nguvu nyingi ziko kinyume ya matakwa yako.
 
Back
Top Bottom