Godbless Lema amuomba Rais Samia kuchunguza kupotea kwa Ben Saanane na kushambuliwa kwa Tundu Lissu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,567
217,914
Pia ametoa dondoo za mahali pa kuanzia, ambapo aliyekuwa RPC wa Dodoma Murroto, Mbunge wa CCM Alexander Mnyeti, Paulo Makonda na Askofu Gwajima wametajwa kuweza kusaidia uchunguzi.

Capture 1.PNG
 
Nilitegemea Lema amweleze afande Sirro!
Issue hii iko beyond afande Sirro, kama afande angekuwa na uwezo wa kulishughulikia angekuwa kashalifanyia kazi kitambo sana na file lingekuwa lishafungwa. Review hii ipo mikononi kwa Rais Samia, kama akiamua kweli kutafuta chanzo hadi mwisho wa matukio haya basi wengi wataumbuka ambao hatukuwategemea.

Ni hekima tu na Mh. Rais yaweza kuwaokoa hao watu!! Hongera Lema Hoja / Ombi zuri kwa Mh. Rais Samia.
 
Back
Top Bottom