Tanzania yaipiku Kenya kuwa muuzaji mkubwa wa bidhaa nchini Uganda kwa nchi za Afrika Mashariki

Kinuju

JF-Expert Member
Mar 20, 2021
2,390
5,310
Gazeti la the citizen la leo limeriport kuwa nchi ya Tanzania imeipiku nchi ya Kenya kwa upelekaji wa bidhaa nchini Uganda kupitia bandari. Kabla ya hapo Kenya ilikuwa inaongoza kwenye nchi za Afrika mashariki kama chanzo cha bidhaa nyingi kutoka Ulaya na kupitia bandari za Kenya.

Mi naamini kabisa kwa kasi aliyokuwa nayo hayati rais Magufuli, wakenya tungewapita kila kitu ndani ya miaka 10, ikumbukwe mafanikio ya bandari za Tanzania yamekuja baada ya kuwekeza zaidi ya trilioni 3 kupanua bandari ya Dares salaam, Mtwara na Tanga , pia kufufua reli ya mizigo ya kati kumesababisha kuwavutia wafanya biashara wengi kupitishia bidhaa zao kwenye bandari za Tanzania.
Wakenya wanapenda sana rushwa na misifa kwa wingi lakini hamna kitu.

Kenya wamejenga SGR la hovyo la kutumia diseli kwa bei ya juu sana kuliko yetu Tz inayopita juu dar nzima alafu inatumia umeme.

Bila shaka rais Samia ambaye ni mwanafunzi kindakindaki wa Magufuli ataendeleza mafanikio kwa kasi ileile, na tunamuombea Mungu amubariki sana na magaidi wanaomtishia washindwe na kulegea.

-----
Tanzania capped an eight-month surge in exports to Uganda during June, replacing Kenya as Uganda’s biggest source of imports within the East African Community (EAC), according to data from Bank of Uganda.

Uganda’s imports from Tanzania have for the last three-months doubled, increasing by an average of 18 per cent.

During June, Uganda imported goods worth $125.12m (Shs444b) from Tanzania, indicating a 43 per cent surge from $70.07m in the same period last year.

However, this was a reduction from $149.38m and $125.91m that had, according to Bank of Uganda, been recorded during May and April, respectively.

However, the report indicates a wide trade imbalance between the two countries with Uganda exporting goods worth $10.07m during June. Exports during May and April stood at $8.78m and $9.34m, respectively.

During the three months from April to June, Uganda’s imports from Kenya stood at $83.25m, $71.78m and $66.85m, respectively.

This put Tanzania ahead of Kenya as Uganda’s main source of imports within EAC.

Imports from Rwanda during June, stood at just $0.14m, reducing from $0.24m and $0.32m during May and April, respectively.

During June imports from Burundi stood at $0.05m while DR Congo contributed $1.82m, which was a growth from May’s $1.72m and April’s $1.71m.

Uganda imported goods worth $0.71m from South Sudan, a reduction from $0.96m and $0.79m in May and April, respectively.

According to data from Uganda Bureau of Statistics (Ubos), major imports from Tanzania include gold, rice, trailers and semi-trailers, rolled iron and non-alloy steel and dried and salted fish as well as rice and wheat.

Uganda is, however, concerned by the increasing trade deficit that currently stands at $105.31m within EAC.

Of this, Tanzania accounts for the largest share, standing at $138.2m.

During the period, South Sudan and Kenya accounted for the largest export destinations in the region for Uganda’s exports, accounting for $51.5m and $48m, respectively.

Uganda’s export receipts within EAC have grown by 73 per cent from $67.31m in May last year to $116.56m, while imports have almost doubled, growing by 44 per cent from $153.95m to $221.87m over the same period.

Suggestions

Beyond the EAC market, Uganda’s export receipts increased by 6.7 per cent to $455.22m in May 2021 from $426.56m the previous month, attributed to higher receipts from bigger volumes of mainly non-coffee exports such as mineral products, electricity, tea and beans.

The Middle East has in the last one year become Uganda’s top destination for merchandise exports, accounting for 44 per cent of total exports, while other major destinations were the EAC (25.6 per cent), the rest of Africa (13.64 percent) and the European Union (11.62 percent).

However, Uganda still traded at a deficit with all regions except for the Middle East, the report notes, citing the merchandise trade surplus with the Middle East, which grew by 3.2 per cent to $102.9m in May.

Uganda’s largest trade deficit, $258.57m, was with Asia, which represents a growth of 16.3 per cent compared with the previous month owing to increased imports from the region
 
... hizo bidhaa zinazoenda Uganda zingekuwa origin yake ni Tz japo 15% ingekuwa jambo la maana; ila kupita tu kama njia hakuna la maana sana la kujivunia! Rwanda soon wataanza kuuza magari EAC hizo ndio habari zenye akili.

Mmeipiku Kenya kwa kupitisha bidhaa zinazoenda Uganda bila hata kujua kwenye makonteina kuna nini ilihali Kenya ikiongoza kuuza bidhaa Uganda kuliko nchi zote za EAC (combined) halafu mnajisifu? Kichekesho!
 
Una roho ya korosho sana wewe na Tanzania
 
Mwambie ashike biblia alafu aape kama siyo gaidi
Apewe na nani?
Na polisisisiemu ambayo inakataza ndugu kumpelekea mbowe chakula na kujipa jukumu la wao ndio waonja chakula cha mtuhumiwa?
Mbona mnatumia ngivu kibwa hivi?
Hamuoni mnajipa mzigo msioweza kuubeba?
 
Mwambie ashike biblia alafu aape kama siyo gaidi

Kama kuapa kwa biblia kunaonyesha ukweli wa mtu, dhalimu asingegusa Bible maana kaua watu wengi sana na lile kundi lenu la watu wasiojulikana.
 
Mmeipiku Kenya kwa kupitisha bidhaa zinazoenda Uganda bila hata kujua kwenye makonteina kuna nini ilihali Kenya ikiongoza kuuza bidhaa Uganda kuliko nchi zote za EAC (combined) halafu mnajisifu? Kichekesho!
Bidhaa gani mkuu 'dudus', ambazo Kenya huwauzia Uganda kwa kiasi kikubwa hivyo!

Hii taarifa yako siyo ngeni sana kuisikia mara kwa mara, lakini nadhani sasa inabidi kuichambua kwa karibu zaidi ili ieleweke vizuri, na jinsi mwelekeo wake unavyokwenda sasa hivi.

Isingekuwa huu upuuzi wa hawa viongozi wetu tulionao wakati huu, Tanzania tungelikuwa na matumaini na fursa na Uganda nzuri sana kibiashara.Hiyo iliyopo kati ya Kenya na Uganda sasa hivi ni ya upande mmoja zaidi, kwa sababu tu ya kukosa kwetu kuitumia fursa hiyo kwa miaka mingi.
 
Kama kuapa kwa biblia kunaonyesha ukweli wa mtu, dhalimu asingegusa Bible maana kaua watu wengi sana na lile kundi lenu la watu wasiojulikana.
Umekalilishwa ujinga na mashoga ya ubelgiji
 
Hii ni sawasawa na dobi anapofurahia kupata mashati mengi ya kuosha na kutamba kuwa amemshinda jirani yake kwa kupata mashati mengi ya kuosha wakati huyo jirani anatamba katika kutengeneza mashati.

Awamu ya 5 iliharibu sana fikra za watu. Tunafurahia mafanikio madogo badala ya kuhuzunika kwa mambo makubwa tunayoyafanya ovyo.

Unafurahia kupitisha bomba la mafuta nchini mwako huku kutokana na mambo yako ya hovyo umekimbiza uwekezaji wa dola bilioni 30 ambazo ilikuwa ziwekezwe kwenye gas. Wawekezaji wameondoka, unamtuma Kibudu kila siku kwenye corridor za wawekezaji kuwaomba warudi. Wawekezaji wanagoma kurudi, unawadanganya wajinga kuwa eti gas imeuzwa China, na majuha wote wanashangilia kuwa wamepata mtawala mzalendo, mlinzi wa rasilimali.
 
Welldone Tanzania

=========

Tanzania imeipiku Kenya kuingiza bidhaa nyingi zaidi nchini Uganda na kuongoza kwa nchi zilizopo kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki. Takwimu hizi ni kwa mujibu wa benki kuu ya Uganda.

Mwezi June Uganda imeingiza bidhaa zenye thamani ya dola milioni 125.12 sawa na ongezeko la asilimia 43 ikilinganishwa na bidhaa zenye thamani ya dola milioni 70 kipindi kama hicho mwaka jana.

Japokuwa kuna tofauti kubwa na kusababisha mzani usio sawa 'Trade imbalance' ambapo Uganda inaingiza bidhaa Tanzania zenye thamani ya dola milioni 10 pekee

==========

Back
Top Bottom