Naomba hotuba ya Hayati Nyerere kutangaza Dodoma kuwa Makao Makuu

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
1,386
2,000
Mwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku rais nyerere anatangaza azma ya serikali kuhamia dodoma Jambo ambalo raisi Magufuli alilitimiza.
Ili IWEJE hebu Wakati Mwingine tumieni Akili kwenye Mambo yenye TIJA Kwa TAIFA kama KUDAI KATIBA MPYA na KUPINGA UBAMBIKIAJI wa KESI leo MBOWE kesho Anaweza kuwa BABA yako Mdogo kule KIJIJINI kwenu
 
Sifael Mpollo

Member
Jan 20, 2018
10
45
Mwenye hio audio au video au hotuba ya maneno siku Rais Nyerere anatangaza azma ya Serikali kuhamia Dodoma Jambo ambalo Rais Hayati Magufuli alilitimiza.
Uamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.

Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.​
 1. Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi).
 2. Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 3. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.
Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.

Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:​
 1. Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978).​
 2. A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).​

TANU. DIBAJI -DODOMA. KISWAHILI.jpg

MKUTANO WA TANU -DODOMA. KISWAHILI_page-0001.jpg
TANU -NYERERE KWENDA DODOMA. KISWAHILI_page-0001.jpg
TANU -NYERERE TO DODOMA. ENGLISH.jpg
TANU. FOREWORD -DODOMA. ENGLISH.jpg

MKUTANO WA TANU -DODOMA. ENGLISH_page-0001.jpg
 
ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 31, 2016
10,955
2,000
Uamuzi wa Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi ulifikiwa katika Mkutano Mkuu wa 16 wa TANU uliofanyika tarehe 01 Oktoba 1973 ambao uliazimia Makuu Makuu ya nchi yahamishwe kutoka Dar Es Salaam kwenda Dodoma.

Baadhi ya nyaraka zinaonesha kuwa sababu za kuhamishia Makao Makuu jijini Dodoma ni kama ifuatavyo.​
 1. Dodoma iko katikati ya nchi na kwenye kitovu cha mawasiliano ya kitaifa (Hali ya kijiografia - Mji uko katikati ya nchi).
 2. Dodoma ipo karibu sana na Arusha ambayo ni Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 3. Dodoma ipo mahali pema kwa hali ya usalama wa nchi na kuwa hewa yake nzuri ni muafaka zaidi katika hali ya ufanyaji wa kazi.
Maelezo zaidi naomba upitie picha zilizoambatanishwa hapa.

Pia kwa taarifa zaidi tafadhali tafuta vitabu vifuatavyo:​
 1. Sura ya Dodoma kimeandikwa na Mamlaka ya Makao Makuu (1978).​
 2. A portrait of Dodoma - Capital Development Authority (1975).​

View attachment 1883931

View attachment 1883930 View attachment 1883936 View attachment 1883937 View attachment 1883938

View attachment 1883940
Asante Sana
 
unprejudiced

JF-Expert Member
Jan 27, 2017
2,933

Mkuu Hongera.
 
Katwangilo

JF-Expert Member
Jun 10, 2021
395
500

We noma, asante sana
 
Ramadhan J Tambara

JF-Expert Member
Dec 14, 2015
2,257

Ahsante sana
 
G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
730
1,000

Sababu zote hizi zimepitwa na wakati na hazina tija tena.
 
Mgmi

Member
Jul 25, 2021
15
45
Dar ishajaa na haitanuki
Foleni zake ni changamoto kubwa kwa wananchi
Nadhan mwendazake alikuwa sahihi,
Usiwaze kuhusu leo tu,
Waza kuhusu miaka hamsini ijayo dar itakuwaje,
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom