Kama Chadema ni waumini wa Katiba ya Wananchi, kwanini waliizika UKAWA na kumkumbatia Lowassa aliye muumini wa Katiba ya Chenge?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,543
141,353
Nawasalimu kwa jina la JMT

Swali langu ni hili:

Kama Chadema ni waumini wa kweli wa Katiba ya Wananchi (Rasimu ya Warioba) kwanini waliizika UKAWA kwa kumfurusha muasisi wake Prof Lipumba na msaidizi wake Dr Slaa kisha wakamkaribisha Mzee Lowassa wa CCM ambaye kimsingi alikuwa ni muumini wa Katiba Pendekezwa (Katiba ya Chenge)?

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Back
Top Bottom