johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,944
- 141,919
Mara kadhaa viongozi wa CHADEMA wamesikika wakinadi maendeleo ya watu badala ya vitu. Na wakati mwingine wameibeza CCM kwa kujikita kwenye maendeleo ya vitu ( miundombinu)
Ndiposa leo nikapata bahati ya kufika mtaa wa Ufipa hadi pale makao makuu ya chama hiki kikuu cha upinzani. Kimsingi nimekubaliana nao kwamba wao hawaamini katika maendeleo ya vitu maana jengo na samani za ofisini zinadhihirisha hilo.
Ni ukweli ulio wazi kama CHADEMA ingechaguliwa 2015 haya maendeleo ya ujenzi wa miundombinu ikiwemo SGR, Bwawa la umeme Fly overs, ununuzi wa ndege nk. ingekuwa bado ni ndoto kwa watanzania.
Niishie hapo.
Maendeleo hayana vyama!