Rais Samia akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS)

Shujaa Mwendazake

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
3,726
6,252
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

20210811_162329.jpg
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
 
Taarifa ya Ikulu:

Nyie subirini maza anaupiga meingi mno mtashangaa vibaya

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Taarifa ya Ikulu:
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Kazi yako imekamilika kutuletea habari hizo my take unapoteza muda!
 
CCM wamesikitishwa na upotoshwaji wa mahojiano ya mwenyekiti wao na BBC uliofanywa na gazeti lao wenyewe, gazeti la Uhuru. Leo wameita press conference ili kulitolea ufafanuzi

Kwahakika yale mahojiano yote aliyoyafanya mama yanahitaji kutolewa ufafanuzi, masahihisho au pengine ikibidi kuomba radhi(japo ni vigumu sana).

Kuna mambo mengi kama suala la Mbowe ambayo wanasheria ikiwemo Dr Edward Hosea waliyatolea kauli kwa mtazamo wa kisheria na naamini katika kikao cha Mheshimiwa rais na Jaji Melo na dr Hosea wataendelea kukumbushana na kuweka sawa kwa mustakabali wa ustawi wa haki katika taifa
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Hii My take yako imekaa Kipuuzi hadi Kinafiki pia na imekuanika Kwetu kuwa Wewe ni Mtu wa Chuki, Husuda na Kisununu kwa Rais Samia, Serikali yake na Chama Tawala chake cha CCM.
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Mkuu mm sio mama yangu huyo,mama yangu nilisha mzika tarehe 14/8/2019,R.I.P my mama.
 
My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
kukuza uchumi wakati taifa limeparanyika ni kazi kubwa mno, wengine wamo magelezani kesi za kisiasa, wengine uchaguzi hawataki tena, wengine wanataka katiba mpya, wengine urais 2025 wanauchungulia, wengine hawataki kuchanjwa, wengine wanahubiri wenzao kwamba chanjo si salama, wengine tozo juu - yaani taabu tupu.
 
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello,
inakuwaje kuwa na chama cha wanawake tu ktk chombo cha kutoa haki?!
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Rais msikivu mh.SSH....

#KaziIendelee
 
Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello,
inakuwaje kuwa na chama cha wanawake tu ktk chombo cha kutoa haki?!
May be, because of a Gender equity or gender equality! I am just guessing, though.
 
Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akutana na kuzungumza na Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Profesa Edward Hoseah na Mwenyekiti wa Chama cha Majaji na Mahakimu Wanawake Tanzania (TAWJA) Jaji Joaquine De-Mello, Ikulu Chamwino Jijini Dodoma leo tarehe 11 Agosti, 2021.

My Take:
Naona Mama yupo busy sana, sijajua kama ndo anakuza uchumi au kivuli chake kinamsumbua na anapambana nacho
Naona siku izi mbili tatu katulia Dodoma makao makuu, wenda ameamua Sasa kukaa DODOMA rasmi
 
Mama anapata shida sana kuendesha nchi

Alidhani akiletea watu fujo na kuwafunga basi atapata peace of mind

Kumbe ni very far from it

Ajifunze kutumia akili yake binafsi.....

Atakoma

Na Hoseah,hivi who believe this government agent?
You cant believe a person/human being, but you can trust!
 
Back
Top Bottom