EWURA: Gesi haitapanda bei

EWURA: Gesi haitapanda bei

mshale21

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2021
Posts
2,520
Reaction score
6,082
Agosti Mosi, 2021 zilisambaa taarifa za kupanda kwa bei ya gesi ambapo mtungi wa gesi ya kilo13 ulipanda kutoka Sh50,000 hadi Sh53,000 na kilo ambapo ukiuka Sh23,000 kutoka Sh21,000 hali ambayo ilileta taharuki kwa wananchi.

Kufuatia kupanda kwa bei hiyo mpya ya gesi Ewura walisitisha bei hiyo Agosti 3, 2021 baada ya wananchi kulalamika.

Anasema na Mwananchi Digital leo meneja wa Ewura Kanda ya Kaskazini, Lorivii Long'idu alisema gesi haitapanda bei badala yake wanapitia mawasilisho yaliyowasilishwa na mawakala hao wanaotaka bei mpya ya gesi.

"Tulitumia kampuni ambayo ni ya kuuza gesi na kuuza bidhaa za gesi za majumbani kusitisha bei mpya ambazo zilikuwa zimetangazwa!

"Tunataka watuambie kwa nini bei ya gesi iongezeke na nini kimetokea hivyo tunaendelea na hili zoezi la kupita mawasilisho hayo wakati tukisubiri kupitia hayo mawasilisho yao ya bei inayoendelea kubaki zilezile za awali mpaka hapo kufundisha maagizo mengine baada ya kujiridhisha na kupita mawasilisho yao," alisema.
 
Wakati huo bado tunaendelea kununua kwa bei juu!

Waseme wazi,nikienda sehemu nikanunua kwa bei ya juu na nikawa na ushahidi basi nitapata 50% ya faini watakayotozwa wauzaji!
 
Pandisheni tu hata mara elfu ili wateule wooote wapate maviieite
 
Back
Top Bottom