CCM kilitukomboa, kukisaliti ni laana

OTTER

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
476
331
Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi.

CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa.

Kama bado upo hai, na unakilaani hiki chama elewa laani hiyo itakutafuna hadi kaburini.

Ni hayo tu.
 
Hilo lichama kama linawafikiria kina Gwajima na Polepole kuwa laana itawakuta na kufa lijuwe imekula Lumumba hiyo laana maana ni kuwa:-

GWAJIMA Ana kanisa la uzima na ufufuo na hujui Kisha jifufua marangapi.

POLEPOLE kwa wanaomfahamu dawa anazomezaga kuongeza kinga hata akilala halafu zikaja panya zinazokulaga miguu nasikia panya wale hufa wenyewe palepale kitamdani sidhani kama CCM hiyo laana yake itamuua
 
TANU ndiyo iliyotukomboa
SAWA, KWANI HICHO KIAPO HAUKUAPA AU ULIAPA??
na sio CCM!
Kwani ni chama gani dola, ambocho miaka ya 1970s hadi 1980s kiliimbwa sana na hadi sasa uwo wimbo wakongwe wakiukumbuka wanakaa kimya na kuanza kuwaangalia wale wote wanaojichanganya kuanzisha masaccos ya mifukoni mwisho wa siku saccos zinawafia mikononi
 
CCM imezaliwa 77,CCM ile siyo ya sasa!Chama kimefubaa,kimebaki chama cha kuwanyonya wananchi!
 
Tuseme tuu ukweli kwamba HAKUNA CHAMA MBADALA CHA SIASA
CCM bado itaendelea kutawala sababu ndio chama cha siasa kilicho bora kwa msingi wa imani kwa watanzania hadi sasa

Kujenga chama imara cha kuweza kuiweka CCM chini wapinzani acheni siasa za twita na jf. Nendeni kwenye jamii mkawape wananchi elimu mnayodhani watawaona nyie ni bora. Kama mnaweza🤣🤣
 
Agenda ya katiba mpya haepukiki, CCM mkiwa na busara ni kheri mkae na upinzani sasa hivi mkiwa bada na nguvu, mtapata nafasi ya kupanga terms and conditions. Pressure ni kubwa na ikizidi kupanda mtapoteza nguvu kabisa.
 
CCM haijawahi kukomboa nchi kutoka kwa wakoloni zaidi TANU ambapo wahusika karibu wote wametangulia mbele za haki

CCM ilianza 1977 na kuisha hadhi yake 1992 basi baada ya hapo mila na desturi za kitanzania ndizo zimeachiwa kuongoza hatimaye bila kudhibitiwa hadi hizi changamoto zinazojitokeza kwenye jamii zinajionesha.
Kwa mtu yeyote aliyeimba wimbo huo, kwa kudhamiria kukilinda Chama, tena mbele ya Mwenyekiti kwa kuahidi kuzidumisha fikra zake. Ajue atapata laana iwapo ataanzisha chama chake binafsi.

CCM ni chama kilichotukomboa na tuliimba sana tutakilinda mpaka kufa.

Kama bado upo hai, na unakilaani hiki chama elewa laani hiyo itakutafuna hadi kaburini.

Ni hayo
 
Vyama vya siasa vya kibongo ni kama watu waliolazwa wodini hospitalini tu wote ni wagonjwa ila kuna wagonjwa wenye unafuu, CCM ndio mgonjwa mwenye unafuu ila sio kwamba ndio bora kuliko wengne na mda mwingne ubora wako unategemea na uvivu wa washindani wako
 
CCM haijawahi kukomboa nchi kutoka kwa wakoloni zaidi TANU ambapo wahusika karibu wote wametangulia mbele za haki

CCM ilianza 1977 na kuisha hadhi yake 1992 basi baada ya hapo mila na desturi za kitanzania ndizo zimeachiwa kuongoza hatimaye bila kudhibitiwa hadi hizi changamoto zinazojitokeza kwenye jamii zinajionesha.
Misingi, destuli na Mila ya Koo za Kifalme hubaki palepale pasipokuathili chochote, na ndiyo yenye tabia za kurithishana. Hivyo ni vigumu sana kutenganisha TANU aliyemzaa CCM. TANU + ASP=CCM
 
Wapi CCM ikakusaliti?. Kwani CCM imewauza watanzania kwa wakoloni??, acheni mambo yenu ya kinyumbunyumbu
Kwahiyo kwako kusaliti ni kuuzwa kwa wakoloni??
Imeniongezea tozo na kiongozi wao anasema eti tumekubaliana ilhali anajua fika zinatuumiza. Anatoa ahadi za uongo kua zitarekebishwa na hazirekebishwi.

Wanaahidi mambo na hawatimizi, wameahidi ajira hawajatoa kama walivyoahidi. Aisee ndgu kama na wewe ni mwanaccm basi una laana, pole sana.
 
CCM haijawahi kukomboa nchi kutoka kwa wakoloni zaidi TANU ambapo wahusika karibu wote wametangulia mbele za haki

CCM ilianza 1977 na kuisha hadhi yake 1992 basi baada ya hapo mila na desturi za kitanzania ndizo zimeachiwa kuongoza hatimaye bila kudhibitiwa hadi hizi changamoto zinazojitokeza kwenye jamii zinajionesha.
Ulishanikiwa kuimba kale kawimbo ketu ..oooooh TANU yajenga nchi...., kama haujaimba huo wimbo ni ngumu kufahamu historia ya nchi hii. Ndiyo maana ni vigumu sana kukabidhi inchi kwa wanyang'anyi kwa njia ya karatasi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom